Galacha Maestro
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 1,353
- 2,231
- Thread starter
-
- #61
Usimtegemee mtu. Sijasema asipambane. Soma uelewe. Nimesema asiweke matumaini ya kuajiriwa na kulipwa millions. Watanzania ukitaka kuwa funga nwandikie. Kazi kweli kweliii.Nimesoma Kila kitu ila kumbka kila mtu Ana malengo yake japo inategemea uwezo, nafasi,muda na mazingira na wale watu wanaomzunguka mtu husika so Acha kila stop discouraging acha apambane kulimga na hvo vigezo hapo juu then baadae muda utazungumza wenyewe.
Maisha yapo baada ya kumaliza chuo.na zile be like... gosh.. you know...
vinguo havieleweki,
smartphone mpya ikiingia anataka,
wasichana kushikashikwa na kila mvulana,
na kuamini maisha yanaanza baada ya kumaliza chuo!
Asante. Ila nilichofanya ni kuongea hali halisi. Ukweli uliopo ukiwa masomoni usiwaze kuajiriwa na kuwa na maisha bora na mshahara mkubwa. Kwa walio maliza na wako mtaani wanaelewa nasema nini. Jiwekee malengo ya kusoma na kufaulu na plan b ambayo ni ujasiria mali. Nahisi nimejieleza vizuri sanaaa.Hongera
na anapokua chuo anafanya nini?Maisha yapo baada ya kumaliza chuo.
Kuna watu wameumbwa kuja kuwa watumwa wa wengine,so kuwa mtumwa sio tatizo.Ukitegmea kuajiriwa utakuwa mtumwa maisha yako yote
Unaishi maisha ya chuo na unapomaliza unaanza maisha mengine nje ya chuo.na anapokua chuo anafanya nini?
watu wamesoma vyuo na kutumia boom kuwekeza na wanaendelea vyema na maisha yao, je yale hayakua maisha?
rudia tena kusoma ulichoandika.Unaishi maisha ya chuo na unapomaliza unaanza maisha mengine nje ya chuo.
Monika ukimaliza chuo utanielewa.rudia tena kusoma ulichoandika.
nadhani haujui unabishana kitu gani,Monika ukimaliza chuo utanielewa.
Duuuuh. Sibishanagi. Kubishana kipaji. Sijawahi kubishana toka nimezaliwa.nadhani haujui unabishana kitu gani,
nafuu ningekua chuo, nadhani nisingeweza kuyaona niliyoyaandika post ya kwanza.
Vijana wa chuo wapewe elimu ya kujiajiri wasitegemee kbs kuajiriwa mifano tunayo sisi tumemaliza chuo 2008 mpk leo hii Hakuna cha ajira wala nn
Vijana qanajidanganya sana hali kiukwel ni mbaya sana acha wa jidanganye! Kuna mtu aliona kama mjinga baada ya kuniona na degree yangu kitaa mwaka 1,2,3,4,5 nikaanza piga ishu zangu akaniona bonge la fala! Hatimaye nae akamaliza nikaanza kumuhesabia 1,2,3,4,5, 6, sahiv akiniona ananikimbia
Mtaani kuna fursa kibao za kutengeneza pesa....kinachowafanya wazidi kufulia ni kutuzarau sie tusio soma hata pale tunapowapa idea nzuri tu za kimaisha...hasa kwa haya maisha ya mtaani ambayo hayana formula........mtu yupo radhi hata kukaa home hata miaka kumi akingoja kuajiriwa.....wakati kijijini kwao mashamba yao yamegeuka kuwa mapori....
Kwa kweli Elimu ya sasa ijikite kwenye kuwaelimisha vijana namna ya kujiajiri na kutokuchagua kazi, vijana wengi wasomi wanadharau baadhi ya kazi! wako tayari kuwa ombaomba kwa ndugu jamaa na marafiki kuliko kujiajiri katika fursa ndogo ndogo, mfano ofcn kwangu nilikuwa na msaidizi ambaye ndio kwanza amemaliza chuo 2014, mwanzoni lengo lilikuwa ni kumuajiri lakini baadaye ikaingia fitna na siasa ajira ikadunda, mimi sikumuacha, zikaingia fitna ili aondoke niliakikisha anabaki kwa sababu alikuwa msaada sana lakini pia ninamuadmire sana, Tofauti na wasichana wengine wa rika lake anajituma kwenye biashara, kila biashara anafanya! lakini pia alikuwa kwenye network marketing ambayo ilikuwa inamsaidia na kwenye kazi zangu ofisini alikuwa ananisaidia vizuri, hivyo kila alipotaka ruhusa mradi kazi zinapopungua nilikuwa simnyimi. Kila wakati nilipoona kazi mitandaoni na kwenye magazeti nilimuonyesha,nilimpasia fursa nyingi nyingi, huwezi amini interview zote alizoitwa alifaulu. Ikawa kuchagua kazi tu, akachagua ile ambayo itaendeleza career yake upesi.
WITO: Ukiwa kitaani usichague kazi kila fursa unayoiona changamkia.
Kila kitu unafikiria kirahisi rahisi mkuu unajua gharama za kufungua kampuni ya ujenzi , ingekua rahisi hivyo mbona kila engineer graduate angekua na ya kwake.Usilolijua Kama usiku wa Giza mzeeKumbe unajua nchi ni changa. engeneer una ajiriwa nini? Fungua kampuni za ujenzi, ufundi hauitaji ajira. Hakuna anaezuiliwa kuwa na matamanio makubwa.,ila yasiwe ya kutegemea kutoka kwa fulani au serikali au taasisi.,kuwa na matarajio yako utayofanya makubwa.
Asante kwa kuniwashia mwanga.Kila kitu unafikiria kirahisi rahisi mkuu unajua gharama za kufungua kampuni ya ujenzi , ingekua rahisi hivyo mbona kila engineer graduate angekua na ya kwake.Usilolijua Kama usiku wa Giza mzee
Hahaa...mkuu, balance of Nature.Kuna watu wameumbwa kuja kuwa watumwa wa wengine,so kuwa mtumwa sio tatizo.
Noma sanaa.Dah life after school noma jaman ukiwa chuo unaona kila k2 easy lkn ukiingia kitaa hali sio shwar kabisa