Hahaha asante kwa kufurahiii...
Hahaha... ukiwa nje ni rahisi sana kumwona wa ndani anakosea na kumdharau. Na kusema ingekua mimi ningefanya. ila ingia wewe ufanye utaona ugumuu wake. Nahisi anajifunza jambo sasa. Akufuate umpe ushauri wa kusogeza maisha.Vijana qanajidanganya sana hali kiukwel ni mbaya sana acha wa jidanganye! Kuna mtu aliona kama mjinga baada ya kuniona na degree yangu kitaa mwaka 1,2,3,4,5 nikaanza piga ishu zangu akaniona bonge la fala! Hatimaye nae akamaliza nikaanza kumuhesabia 1,2,3,4,5, 6, sahiv akiniona ananikimbia
Aaaah ifm aaaaah
nimecheka wanafuzi wa chuo kufikiria kulipwa milion 2Huu mchezo hauna chuo boss au unamaana gani?
Mi ndomana spendi kukaa chuo nakaa mtaani mbali kabisaa na chuo na maisha ya kitaa nishayaelewa...Hahaha asante kwa kufurahiii...
Yes ndugu una pointBado watoto, wengi hawajajua nini maana ya kujitegemea. Acha wafikiri hivyo kwa wakati huo ili baadae wakitoka watafahamu hayo unayoyasema. Wakianza kuyafikiria hayo shule haitapanda.
Safi sanaaa aseee.Field,,Volunteering it's very simple kupata,,kaz sasa mmmmmmh?insue nyngne jabisa na sio rahis kabisa
Mfano mm hapa nimemaliza chuo August21 2015 nikiwa na matarajio makubwa ya nikitoka tu chuo fasta one week niwe tayar nimeshaanza kaz,,tulivyomaliza tu fasta nikatengebeza cv yangu na kufanya applications nyng tu kila kona pesa nyng sana aisee nauli kop daaa hatar
One week ikapita hola next the next week tukaitwa kwenye iinterview kwenye taasis fulan hv tulikuwa km 25 hv ila post ni 5 tu,,interview was done na nikiisikia tayar wameitwa means nimeachwa
Wiki 3 zikaisha no jobs,
Nikaandika volunteering letter to taasis flan hv ilikuwa j5 ya week3 j3 nikaitwa na nikasain mkataba for 3months,,msos bure na usafir bure nikaona powa sana acha nipate exposure,,hata hvo alie nishaur ni frnd wangu kaajirwa hapo alikuwa km volunteer hata mwez haukuisha akasain mkataba wa job
Kwa niliweka 90% after 1or2 month ntakuwa nacheka na ITM
Kwakwel bahat ya mwenzio usiillalie mlango waz 3months zimepita na mkataba umeisha niko mtaan sasa no jobs
Safi sanaa. Kuna maisha zaidi ya shule.Mi ndomana spendi kukaa chuo nakaa mtaani mbali kabisaa na chuo na maisha ya kitaa nishayaelewa...
Duuuh. Wapate wepesi kwa kila walifanyalo. Ila wasichukulie mambo ni rahisi.Ngoja wakimaliza shule,watazisoma hadi namba za kigiriki.
Huyo anaesema tatizo mtaji, hapo si ajabu anaingia JF kwa simu yenye thamani ya laki 2-3, pia ana ipad au laptop yenye thamani ya laki 3-6,bajeti yake ya vocha kwa wiki ni elfu kumi, kuhonga elfu 20-50 kwa wiki sio tatizo kwake.Ni wapi atatokea uyo mtu wakukupa mtaji? utaendelea kusubiri paka lini uyo mtu wa mtaji atokee? apo ndipo tunapochemkaga, ukiwauliza vijana wengi watakuambia tatizo ni mtaji, wengi wanawaza mitaji ya mil 10 nakuendelea sasa nani atakuja kukupa hio mil 10 kwa kipindi hiki? mtaji unaanza kuutengeneza mwenyewe bila kuchagua kazi unachoingiza(kipato) ndio badae utafanya kama mtaji. Hizo kazi sasa sio lazima ziwe za ofisini yoyote ile itakayokuja mbele yako fanya.
WANAVYUO Bhaaaana!!!
Jana Nilienda Kumtembelea Rafiki Yangu Pale IFM nikajikuta nakuwa na siku ya Furaha hasa nilipozisikia story zile zile za wanachuo kumbe story za WANAVYUO karibu wote ni zile zile
Sijui ukiwa chuo akili Inakuwaje hata!
Yaani Unakuwa Unawaza Kumaliza, Kupata kazi, Kupewa kitengo alafu Uanze Kupiga Pesa hahaha huu muda wa kutafuta kazi hauesabii na wala huna plan nao wakati ndio muda mgumu na mrefu mno hata kuliko kufanya kazi
Chuo bhaaana! Yaani ukiwa unasoma Unaona kama vile wengine wanakosea ni mambulula hawajui wayafanyayo wewe ndio mjanja tena unayaona maisha ni mazuri tu yaani huwazi kufeli interview, kukatwa jina, kuchelewa pannel, kukosa wa kukushika mkono, kupata link yenye ajira lakini kila ukibofya vigezo huna, kufanyiwa figisu na hujuma kwenye last audition, kupoteza kumbukumbu ya tarehe ya interview, kufeli training na kadhalika.
Ukiwa chuo unawaza Kumaliza na kupata kazi kama ni mvulana unawaza kuwa na gari nzuri, kuipimp vizuri, kuifunga music system ya maana kumiliki mtoto mzuri na kuchukua mkopo wa nyumba huku LAPF umepewa mkopo wa kujikimu yaani unayachukulia maisha mepesi kuliko hata idea za BONGO MOVIE
Yaani nimezifurahia sana hizo story zenu za Alinacha tena nilimsikia mmoja akisema; "Flani kamaliza hapa mwaka jana kaenda South kasoma sijui nini kwa miezi mi3 karudi CRDB wamemchukua anakula mkwanja acha mchezo, mimi nikimaliza chuo sitaki hata kukaa nyumbani naanza harakati za kutafuta kazi
Nilipowasikia hivyo nilicheka sana nikajua hata watasema tutajiajiri kwenye kilimo ama kwingineko eti watatafuta kazi hahaha
Hivi Kwenye kutafuta kazi kuna harakati kweli au ni kujidanganya?
Utafanyia wapi harakati kwenye interview au kwenye kutuma CV online?
Kiukweli nilipokuwa nawasikiliza nilikumbuka mengi sana kuhusu chuo natamani niwe naenda CHUO mara kwa mara kusikiliza hizi ndoto zao za mchana alafu niwatafute miaka miwili baada ya kugraduate nione % za matunda za harakati hizo
SIJUI HAWAJAJUA KUNA WENGINE WAMETUMA CV KWENYE MAKAMPUNI MPAKA IMEFIKIA WAKATI TANGAZO LA AJIRA LINAPITA AKILICHEKI HIYO KAMPUNI TEYARI WANA CV YAKE.....
JUMAPILI NJEMA.
Usikate tamaa ukipata nafasi tumia. Pia usiwe na matarajio makubwa sanaa na elimu.
Ni kweli aseee... utajiri ni akili ya ziada.Kuna kagroup kadogo ka wanafunzi wa Afya nadhani atleast wao ndoto zao zinaweza kusogelea ukweli maana wakitoka tu shule ajira lazima
Ila ndoto za kimaisha(ule utajiri tunaouota) ndio inategemea na akili ya mtu ila hawa wana mwanzo mzuri
Yes usikate tamaa. Ipo njia ukiangaika utaipata.Daah nimejifunza jambo kutoka kwny hii post yako, ukiwa chuo unaona kama njia ni nyeupe tu utakapomaliza kumbe huo si uhalisia la uwe na mtu atakae kushika mkono au alie kuwekea kitengo kama wanavyosema,nakumbuka nilivyokua na mipango kibao ya baada ya kumaliza chuo lakini yote imeyeyuka...una apply kazi zaidi ya 20 hupati hata reply 1...daah Tz kazi ipo, all in all hakuna kufa moyo "let's keep fighting", maisha sio ku plan bali kuzitimiza plan zenyewe.