Lighton
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 1,904
- 3,100
Vijana sasa hivi wimbo wa taifa ni ngono, Ngono imekuwa na mvuto kiasi kwamba inatawala kila kitu. Naizungumzia ngono isiyo rasmi maana tusichanganye hapa, nazungumzia uasherati na uzinzi na wala siyo tendo la ndoa, nafikir nimeeleweka.
Nimezungumzia vijana lakini hasa nalenga jinsia me, jinsia ke hawa downfall yao inatokana na madhaifu yao, wanadanganywa sana. Hawashtuki na kesi za singo maza ndo zinazidi kuwa nyingi.
Anyway kwenye hii kitu ngono sasa....
kwenye hii kitu kwa sasa ni kama dimbwi la matope yenye kina kirefu ambacho vijana sasa ni kama tumebakiza kichwa ili iwe ndo kwisha habari yetu. Tukigawa hali za kimaisha kuna wale wa daraja la katikati(maana walio wengi tunaanzia hapa) hawa unakuta familia ina foundation, yaani baba alipambana akiwa kijana, ili kesho ya kizazi chake iwe brightest(but what wonder the most, it ended different)
Na kuna hawa wakina sisi wa daraja la chini ambao wazee wetu walifeli kwa namna mbalimbali ikiwemo either waliona shule ni kama kinyesi, kuendekeza ngono au kuchezea shilingi chooni, hawa mara nyingi hupanda mbegu penye miiba, miamba na pende madimbwi, mahala ambapo hapawezi kuotesha mazao. Ni mara chache sana mbegu huangukia kwenye udongo mzuri.
Sasa kimsingi ni kwamba sote ni vijana na sote ni wahanga wa hili jinamizi ngono linalotuandama. Lazima tujue sisi ni akina nani, na tuna malengo gani, Lazima pia tujue kuwa taswira ya maisha ya kesho itatokana na nguvu yetu sisi vijana, nguvu ya kupambania mambo yenye tija na kuachana mambo yenye kubomoa.
Sasa hivi vijana kauli mbiu yetu ni kutafuta pesa, lakini ni kwaajili ya kuvuna mademu wakali
eti demu flani amenikataa kwasababu sina pesa so nitafute pesa ili nije nimiliki demu mkali, by the time kichupa kinajaa nimepata pesa kidogo, nifanyeje?
Unaona hapo shida ni malengo tunayojiwekea sisi vijana.
Sasa unajiuliza mademu wakali ni liability au ni Asset? kama ni liability kwann ujiwekee malengo ya kumiliki liability? sio kwamba nasema vijana tusioe! Au tusimiliki wanawake! no maana yangu ni kwamba muda ni kitu muhimu for what we are passing through, time is everything guys, we are wasting our time doing nothing.
Imagine baba yako anamiliki nyumba moja, wew unakuja kumiliki kitanda, sofa, na tv in your whole life(what a shame
) yaani pesa yako ilikuwa ni mitungi na mademu yaani dah, na wanawake sasa hivi wamegundua, wanajua tunapenda matako, so wanayavalia nguo za kuyaonyesha ili tutamani tuwapelekee hela, after few seconds iwe ni regret, its going down like this my dear friends, let us change.
Rai yangu: VIJANA TUBADILIKE, VIJANA TUBADILIKE,VIJANA TUBADILIKE

Nimezungumzia vijana lakini hasa nalenga jinsia me, jinsia ke hawa downfall yao inatokana na madhaifu yao, wanadanganywa sana. Hawashtuki na kesi za singo maza ndo zinazidi kuwa nyingi.
Anyway kwenye hii kitu ngono sasa....
kwenye hii kitu kwa sasa ni kama dimbwi la matope yenye kina kirefu ambacho vijana sasa ni kama tumebakiza kichwa ili iwe ndo kwisha habari yetu. Tukigawa hali za kimaisha kuna wale wa daraja la katikati(maana walio wengi tunaanzia hapa) hawa unakuta familia ina foundation, yaani baba alipambana akiwa kijana, ili kesho ya kizazi chake iwe brightest(but what wonder the most, it ended different)
Na kuna hawa wakina sisi wa daraja la chini ambao wazee wetu walifeli kwa namna mbalimbali ikiwemo either waliona shule ni kama kinyesi, kuendekeza ngono au kuchezea shilingi chooni, hawa mara nyingi hupanda mbegu penye miiba, miamba na pende madimbwi, mahala ambapo hapawezi kuotesha mazao. Ni mara chache sana mbegu huangukia kwenye udongo mzuri.
Sasa kimsingi ni kwamba sote ni vijana na sote ni wahanga wa hili jinamizi ngono linalotuandama. Lazima tujue sisi ni akina nani, na tuna malengo gani, Lazima pia tujue kuwa taswira ya maisha ya kesho itatokana na nguvu yetu sisi vijana, nguvu ya kupambania mambo yenye tija na kuachana mambo yenye kubomoa.
Sasa hivi vijana kauli mbiu yetu ni kutafuta pesa, lakini ni kwaajili ya kuvuna mademu wakali
eti demu flani amenikataa kwasababu sina pesa so nitafute pesa ili nije nimiliki demu mkali, by the time kichupa kinajaa nimepata pesa kidogo, nifanyeje?
Unaona hapo shida ni malengo tunayojiwekea sisi vijana.Sasa unajiuliza mademu wakali ni liability au ni Asset? kama ni liability kwann ujiwekee malengo ya kumiliki liability? sio kwamba nasema vijana tusioe! Au tusimiliki wanawake! no maana yangu ni kwamba muda ni kitu muhimu for what we are passing through, time is everything guys, we are wasting our time doing nothing.
Imagine baba yako anamiliki nyumba moja, wew unakuja kumiliki kitanda, sofa, na tv in your whole life(what a shame
) yaani pesa yako ilikuwa ni mitungi na mademu yaani dah, na wanawake sasa hivi wamegundua, wanajua tunapenda matako, so wanayavalia nguo za kuyaonyesha ili tutamani tuwapelekee hela, after few seconds iwe ni regret, its going down like this my dear friends, let us change.Rai yangu: VIJANA TUBADILIKE, VIJANA TUBADILIKE,VIJANA TUBADILIKE