Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 49,801
- 69,027
Hapana dada yangu siyo rahisi mtu amtumie mama yake mzazi tsh 100,000 angalau ungenambia usd. Sasa 100,000 mama iyekuzaa anafanyia nini?ndo maana wengine hawabarikiwi.hiyo si ni pesa ya kununulia chewing gums zile ambazo mi huwa nanunua sugerfree na zenye kuondoa uchovu maana zile packet moja ni tsh 250,000.
Nmejisikia vibaya sana.najua umetania tu sister.hamna mtu anayeweza tuma 100,000 kwa mama yake ni pesa ndogo sana.
Bora laki katuma elfu kumi kwa mama yake
Soma hii
Nimetumia hela vibaya, ndugu zangu wanateseka. Moyo unaniuma
Nimetumia hela vibaya, ndugu zangu wanateseka. Moyo unaniuma
Naandika haya atleast kupunguza majonzi nilionayo moyoni. Mimi ni kijana kutoka familia masikini sana, nimebahatika kupata kazi, nitazungumzia mshahara wa october. Baada ya kupokea 280,000 kama mshahara wangu, nililipa elfu 60 deni lililokopa katikati ya mwezi, kisha nikamtumia mama elfu 10...
www.jamiiforums.com