Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,426
- 18,231
Tangu dunia kuumbwa mwanamke mrahisi wa kurubuniwa,karubuniwa hata na lucifa kisa tunda tu ,kwa tamaa ya fedha Delila hadi kamsaliti Samson,....wanawake ni viumbe wanaotumiwa na shetani,hawana msimamo.
Misimamo ya kinafki na uwongo, wamejaliwa usaliti,kushobokea,hata Kama akili zimepevuka basi usaliti umewajaa.
Hata kwenye intelligence services wao ndo wanateka wanaume walio shindikana,na bado ni wasaliti wanaweza kunogiwa na waliotumiwa wawateke.
Mke wa Lutu anatamani anasa hadi anageuza shingo,hapo hapo anageuka jiwe la chumvi.
Mdanganye mwanamke Mme wako ana hawara njoo kwangu,bila kuwaza analala na mme wake masaa 24,atakuja kukuchekea...hahaha nimekupendea umesema ukweli
Mwanamke msaliti,anashawishika,hana msimako