Akili ya mwanamke ushawishi wako tu

Rafiki yangu kafumania msgs za wanawake wanaomshukuru mumewe kwa kungonoka nao vizuri zaidi ya wanawake watano alivyojikita kwenye uchunguzi akagundua kuwa wote ni wake za watu mimi kichwa kibovu nikamshauri awafatilie vizuri awachomee wale wanawake kwa waume zao itapendeza zaidi
 
Wanadamu wote bila kujali jinsia hushawishika, ndiyo tulivyoumbwa na matamanio. Huoni kafulila katimkia lkn kamuacha mke wake Chadema!

Usaliti nao hauna jinsia
 
Wanadamu wote bila kujali jinsia hushawishika, ndiyo tulivyoumbwa na matamanio. Huoni kafulila katimkia lkn kamuacha mke wake Chadema!

Usaliti nao hauna jinsia
 
Attachments

  • tapatalk_1512503755046.jpeg.jpg
    tapatalk_1512503755046.jpeg.jpg
    88.5 KB · Views: 37
Hapo na mzazi wako yupo ujue,na dadako na mkeo na shemeji yako na mwanao,ebu bakisha ukisema,ntakuelewa ukisema baadhi na bila kusahau kuna wanaume baadhi wanatabia za ajabu hata mwanamke hana hao unawazungumziaje? au mwanamke ndio kakuchefua leo?
Hili si povu,..???
 
Uwe na msimamo we ni jiwe au? Misimamo ni kaz ya wanaume lazma m/me uwe strong na cyo legelege ka demu!
 
Tatizo unaweza kurubuniwa ukajiaminisha unarubuni.

Hapo muwinda anapokuwa muwindwa.
 
Back
Top Bottom