Akili ya mwanamke ushawishi wako tu

Akili ya mwanamke ushawishi wako tu

Yani mwanamke hawezi kukataa kabisaa ukimkonyeza kwa siku kadhaa.
Kuna mdada nilimkonyeza miaka 2,mara paaaaap siku ta siku dusheeeeee.
Na misimamo yake yote
Sasa kwani unapomtongoza lengo lako ni akatae!!!
Heee we vipi
 
Wanaume pia hushawishiwa, Adamu alishawishiwa na Eva, Samson alishawishiwa na Delila n.k
Hivyo basi,binadamu wote wana hulka ya kushawishika,usaliti,unafiki,uongo n.k sio suala la mwanamke tu
 
Mwanamke
Mwanamke
Mwanamke
Mwanamke
Mwanamke......

Badilisheni topiki basi sio kila siku mada za kulalama juu ya wanawake wao wenyewe wanashangaa mbona wanaume wa siku hizi wamezidi lawama za k....i....s.....e.....n....g....e....
Badilikeni wazee baba... [emoji16] [emoji51] [emoji119]
 
Saa si bora Eva alidanganywa na shetani kuliko Adam alodanganywa na mkewe.
 
Unataka kusema lucifa alioewa pale kati na hawa???
 
Back
Top Bottom