Juma Nkamia: Hayati Magufuli alipenda sana sifa hivyo nilimsifia ili Watoto wangu waende Shule

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
85,779
145,712
Hizi kauli za KIPUMBAVU kabisa. Unawezaje kutoa hoja ya kuharibu Nchi kisa uendelee kuwa CCM na kulipa ADA!!! ? Wasio CCM watoto wao hawasomi ? Huu ni ujinga, ni kama uwe mahabusu halafu mkeo aseme nilitembea na OCD ili upate dhamana kwenye shitaka lako la kuendesha gari ukiwa umelewa!!

Maisha yetu yanapaswa kufundisha watoto wetu TABIA thabiti na utu wema na misimamo ktk mambo mema na kuwa tiyari kulipa gharama muhimu.R.I.P Nelson Mandela

1000039724.jpg

Godbless Lema
Mtandao wa X

====
Hii ni Kauli ya mtanganyika ambaye aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Habari

Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema ameiita Kauli hii ni ya Kipumbavu

Namuunga mkono Lema 100%

Nawatakia Sabato Njema 😃
 
na tukisema wafuasi wa CCM ni nyumbu na wako extremely selfish huwa mnakataa, sasa huyu yuko tayari wengine waumizwe as far as watoto wake watakwenda shule. "Pumbufu" kabisa
 
Hii ni Kauli ya mtanganyika ambaye aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Habari

Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema ameiita Kauli hii ni ya Kipumbavu

Namuunga mkono Lema 100%

Nawatakia Sabato Njema 😃
Tell him to stay away from Magufuli legacy. Magufuli amefanya mambo makubwa ambayo yanaweza kuishi kwa zaidi ya miaka 300 mingine ijayo.
 
Hizi kauli za KIPUMBAVU kabisa. Unawezaje kutoa hoja ya kuharibu Nchi kisa uendelee kuwa CCM na kulipa ADA!!! ? Wasio CCM watoto wao hawasomi ? Huu ni ujinga , ni kama uwe mahabusu halafu mkeo aseme nilitembea na OCD ili upate dhamana kwenye shitaka lako la kuendesha gari ukiwa umelewa!!

Maisha yetu yanapaswa kufundisha watoto wetu TABIA thabiti na utu wema na misimamo ktk mambo mema na kuwa tiyari kulipa gharama muhimu.R.I.P Nelson Mandela

View attachment 2987570

Godbless Lema
Mtandao wa X

====
Hii ni Kauli ya mtanganyika ambaye aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Habari

Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema ameiita Kauli hii ni ya Kipumbavu

Namuunga mkono Lema 100%

Nawatakia Sabato Njema
Huyu jamaa aliwahi kusema Magufuli aongezewe Muda wa Urais
 
Hizi kauli za KIPUMBAVU kabisa. Unawezaje kutoa hoja ya kuharibu Nchi kisa uendelee kuwa CCM na kulipa ADA!!! ? Wasio CCM watoto wao hawasomi ? Huu ni ujinga , ni kama uwe mahabusu halafu mkeo aseme nilitembea na OCD ili upate dhamana kwenye shitaka lako la kuendesha gari ukiwa umelewa!!

Maisha yetu yanapaswa kufundisha watoto wetu TABIA thabiti na utu wema na misimamo ktk mambo mema na kuwa tiyari kulipa gharama muhimu.R.I.P Nelson Mandela

View attachment 2987570

Godbless Lema
Mtandao wa X

====
Hii ni Kauli ya mtanganyika ambaye aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Habari

Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema ameiita Kauli hii ni ya Kipumbavu

Namuunga mkono Lema 100%

Nawatakia Sabato Njema 😃
Nkamia ni dhaifu anajulikana hivyo angeambiwa atoe ile hela ya zamani ya mjerumani yenye tundu ili watoto wende shule asingekataa tuwakatae watu wa hivyo kwenye uongozi jamaa dhaifu sana!
 
Jo ungewapiga nyundo namna hii chawa wa hapo Lumumba,taifa letu lingekuwa linafanana na mji wa St.pertersburg
 
Nkamia ni dhaifu anajulikana hivyo angeambiwa atoe ile hela ya zamani ya mjerumani yenye tundu ili watoto wende shule asingekataa tuwakatae watu wa hivyo kwenye uongozi jamaa dhaifu sana!
Ameshaonesha kuwa yeye ni mtu wa kupigania tumbo lake na watoto wake, hayuko pale kwa ajili ya wananchi wake.

Hata huyu akitoka atamtupia mishale.
 
Hizi kauli za KIPUMBAVU kabisa. Unawezaje kutoa hoja ya kuharibu Nchi kisa uendelee kuwa CCM na kulipa ADA!!! ? Wasio CCM watoto wao hawasomi ? Huu ni ujinga , ni kama uwe mahabusu halafu mkeo aseme nilitembea na OCD ili upate dhamana kwenye shitaka lako la kuendesha gari ukiwa umelewa!!

Maisha yetu yanapaswa kufundisha watoto wetu TABIA thabiti na utu wema na misimamo ktk mambo mema na kuwa tiyari kulipa gharama muhimu.R.I.P Nelson Mandela

View attachment 2987570

Godbless Lema
Mtandao wa X

====
Hii ni Kauli ya mtanganyika ambaye aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Habari

Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema ameiita Kauli hii ni ya Kipumbavu

Namuunga mkono Lema 100%

Nawatakia Sabato Njema 😃
Huyu ni CCM mnafiki no 1.
Maisha yote ni kujinufaisha binafsi.
Na huko CCM ndio wako wengi wa aina hii, bila aibu anaeneza ubinafsi.
NKAMIA SHAME!
 
Hizi kauli za KIPUMBAVU kabisa. Unawezaje kutoa hoja ya kuharibu Nchi kisa uendelee kuwa CCM na kulipa ADA!!! ? Wasio CCM watoto wao hawasomi ? Huu ni ujinga , ni kama uwe mahabusu halafu mkeo aseme nilitembea na OCD ili upate dhamana kwenye shitaka lako la kuendesha gari ukiwa umelewa!!

Maisha yetu yanapaswa kufundisha watoto wetu TABIA thabiti na utu wema na misimamo ktk mambo mema na kuwa tiyari kulipa gharama muhimu.R.I.P Nelson Mandela

View attachment 2987570

Godbless Lema
Mtandao wa X

====
Hii ni Kauli ya mtanganyika ambaye aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Habari

Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema ameiita Kauli hii ni ya Kipumbavu

Namuunga mkono Lema 100%

Nawatakia Sabato Njema 😃
Huyu hata nukta anaweza kutoa ili wanawe wapate mlo. Bure kabisa hii kenge maji
 
Back
Top Bottom