Hii kampuni ya Kijerumani yenye makao yake makuu katika jiji la Munich inatengeneza magari bora zaidi duniani.. Magari ambayo ukiendesha lazima upate furaha.. Gari huichoki.. Driver oriented..
Ultimate Driving Machine..!
Kuweka battery nyuma ya gari.
Gari nyingi battery zake zinakaa mbele kwenye bonnet.. Mbele huko kuna engine ambayo inatoa joto kali sana..Battery inakuwa exposed na joto la engine na kusababisha lifespan ya battery kupungua..!
BMW akili nyingi wanaweka battery nyuma.. Inasaidia kudumu zaidi.. Pia ni advantage kwa wale wanaofunga mziki mnene..utatumia wire mfupi sababu battery na amplifier vyote vipo nyuma..!
Engines zao ni Inline 6.
Kampuni nyingi zimehama kwenye engine configuration..BMW hawa mpaka leo hawatengenezi V6.. Wamebaki na I-6.. Power delivery yake ni very smooth.. Engine iko well balanced.. Ndio inafanya huchoki kueindesha gari huku unasmile usoni..!
Gari zao ni RWD.
BMW almost zote zina engine mounted North to South.. Then drive shaft inapeleka power kwenye tairi za nyuma.. Kwahiyo tairi za nyuma ndio zinaendesha gari huku za mbele zinaongoza gari.. Huu mgawanyo wa majukumu unaleta balance nzuri sana kwenye gari.. Gari inakuwa na uwezo wa kuhandle power kubwa.. Kuvuta mzigo mkubwa.. Manoeuvring kirahisi zaidi barabarani.. Kudrift n spin kirahisi..hata matairi yanaisha taratibu.. Kiujumla gari inakuwa tamu tofauti na gari inayoendeshwa na tairi za mbele FWD..! Gari inasukumwa na sio Kuvuta..!
Kutokana na akili yao nyingi Ninaomba tuendelee kuwaunga mkono kwa kununua gari zao kwa wingi..!
Sio kweli service yake ni ya kawaida kulingana na hadhi ya gariService yake na spares mbona husemi? Yaani filter tu 150,000?
He is treating the BMW with high respectjirani yangu naona kalipaki linapata kutu huku akishinda na ist Toyota, inaonekana hapendi raha kabisa Huyu
Sure thingMashine ya akili nyingi sana. Engine kubwa, nguvu kibao, fuel consumption ndogo
Mkuu unafaa sana kuwa mkurugenzi wa kiwanda cha Taifa cha kutengeneza magari.Hii kampuni ya Kijerumani yenye makao yake makuu katika jiji la Munich inatengeneza magari bora zaidi duniani.. Magari ambayo ukiendesha lazima upate furaha.. Gari huichoki.. Driver oriented..
Ultimate Driving Machine..!
Kuweka battery nyuma ya gari.
Gari nyingi battery zake zinakaa mbele kwenye bonnet.. Mbele huko kuna engine ambayo inatoa joto kali sana..Battery inakuwa exposed na joto la engine na kusababisha lifespan ya battery kupungua..!
BMW akili nyingi wanaweka battery nyuma.. Inasaidia kudumu zaidi.. Pia ni advantage kwa wale wanaofunga mziki mnene..utatumia wire mfupi sababu battery na amplifier vyote vipo nyuma..!
Engines zao ni Inline 6.
Kampuni nyingi zimehama kwenye engine configuration..BMW hawa mpaka leo hawatengenezi V6.. Wamebaki na I-6.. Power delivery yake ni very smooth.. Engine iko well balanced.. Ndio inafanya huchoki kueindesha gari huku unasmile usoni..!
Gari zao ni RWD.
BMW almost zote zina engine mounted North to South.. Then drive shaft inapeleka power kwenye tairi za nyuma.. Kwahiyo tairi za nyuma ndio zinaendesha gari huku za mbele zinaongoza gari.. Huu mgawanyo wa majukumu unaleta balance nzuri sana kwenye gari.. Gari inakuwa na uwezo wa kuhandle power kubwa.. Kuvuta mzigo mkubwa.. Manoeuvring kirahisi zaidi barabarani.. Kudrift n spin kirahisi..hata matairi yanaisha taratibu.. Kiujumla gari inakuwa tamu tofauti na gari inayoendeshwa na tairi za mbele FWD..! Gari inasukumwa na sio Kuvuta..!
Kutokana na akili yao nyingi Ninaomba tuendelee kuwaunga mkono kwa kununua gari zao kwa wingi..!
Munyamaaaa, hatari sanaSure thing
3l i-6 ina fuel consumption nzuri kuliko watu wanavyotegemea.Hii kampuni ya Kijerumani yenye makao yake makuu katika jiji la Munich inatengeneza magari bora zaidi duniani.. Magari ambayo ukiendesha lazima upate furaha.. Gari huichoki.. Driver oriented..
Ultimate Driving Machine..!
Kuweka battery nyuma ya gari.
Gari nyingi battery zake zinakaa mbele kwenye bonnet.. Mbele huko kuna engine ambayo inatoa joto kali sana..Battery inakuwa exposed na joto la engine na kusababisha lifespan ya battery kupungua..!
BMW akili nyingi wanaweka battery nyuma.. Inasaidia kudumu zaidi.. Pia ni advantage kwa wale wanaofunga mziki mnene..utatumia wire mfupi sababu battery na amplifier vyote vipo nyuma..!
Engines zao ni Inline 6.
Kampuni nyingi zimehama kwenye engine configuration..BMW hawa mpaka leo hawatengenezi V6.. Wamebaki na I-6.. Power delivery yake ni very smooth.. Engine iko well balanced.. Ndio inafanya huchoki kueindesha gari huku unasmile usoni..!
Gari zao ni RWD.
BMW almost zote zina engine mounted North to South.. Then drive shaft inapeleka power kwenye tairi za nyuma.. Kwahiyo tairi za nyuma ndio zinaendesha gari huku za mbele zinaongoza gari.. Huu mgawanyo wa majukumu unaleta balance nzuri sana kwenye gari.. Gari inakuwa na uwezo wa kuhandle power kubwa.. Kuvuta mzigo mkubwa.. Manoeuvring kirahisi zaidi barabarani.. Kudrift n spin kirahisi..hata matairi yanaisha taratibu.. Kiujumla gari inakuwa tamu tofauti na gari inayoendeshwa na tairi za mbele FWD..! Gari inasukumwa na sio Kuvuta..!
Kutokana na akili yao nyingi Ninaomba tuendelee kuwaunga mkono kwa kununua gari zao kwa wingi..!
Bei ya gari ni shilingi ngapi mpaka 150,000 ionekane nyingi?Service yake na spares mbona husemi? Yaani filter tu 150,000?
Service yake na spares mbona husemi? Yaani filter tu 150,000?
Sure.. Kwenye handling wamedesign kweli kweli..3l i-6 ina fuel consumption nzuri kuliko watu wanavyotegemea.
Except Porsche hakuna mjerumani mwenye the best overall handling kuliko BMW.
Mwingine jirani yake kapaki IST anatumia Pikipiki.. Mwingine jirani yake kapaki Pikipiki anatumia Baiskeli.. Mwingine jirani yake kapaki Baiskeli anatembea kwa miguu..!jirani yangu naona kalipaki linapata kutu huku akishinda na ist Toyota, inaonekana hapendi raha kabisa Huyu