Bladerunner
Member
- Dec 19, 2008
- 93
- 4
Hahahaha hii kali jamani kakubali demu wake achakachuliwe na both wakeJamaa watatu walikua wakifanya kazi katika kampuni fulani hivi!!Bosi wao alikua na tabia ya kula kona kila Ijumaa baada ya lunch time afu anawaachia kazi kibao wamalizie!!Ijumaa hii wakapanga akila kona na wao wale kona!!
Jumatatu wakawa wanapeana michapo!!
Wa kwanza:ebwanae ucpime ijumaa nliutwika ile mbaya mpaka nikamtongoza wife nikidhani demu mwengine!!
Wa pili:hujanishinda mimi niliutwika mpaka nikasahau kwangu,nikaishia chumbani kwa mwenyekiti wa mtaa!
Watatu:akaanza kulalama!!"Nyie washkaji hamfai kabisa,mwenzenu leo ningekua sina kibarua!!mimi nilirudi nyumbani,ile kufungua mlango wa chumba tu si nikamkuta BOSI NA WIFE WANGU KITANDANI!!Yani nashukuru mungu hakuniona,nikatoka kimya kimya!!!"
:lol: huyu wa tatu ndo mwe kabisa!!!
sasa angefanyaje?
si ningemfukuza kazi....lol
kwa hiyo na wewe ungefanya hivyohivyo,kesho akisema anataka kukufanyia massage utakubali ili usipoteze kibarua au?
mhhh ngoja nkafukuze mbu!!!mbona unachanganya mambo?
i am the boss.....
mimi ndo natoa order,hakuna mwenye ubavu wa kunipa order..
get it????????
mhhh ngoja nkafukuze mbu!!!
nini mbu na kitanda kabisa kiandae..
nakuja huko lol
kwa sharti lakuchuliwa kinyume chake baki na unyamwezi wako na miiko yako kama haujasongea ugali!!!
hahahahahaha haya bwana usikimbie tu kila ukiona post yangu:lol:hivi unafikiri hata energy ya kunyanyua mkono utaipata?
utakuwa unahemea juuu juu tu....kizunguzungu kwa chati......