Akikuita 'my son' anamaanisha nini?

Mwanamageuko

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
8,596
Reaction score
5,584
Imekuwa ni muda sasa, Kila nifikapo kazini huyu dada tunafanya nae kazi sehemu moja na ninamzidi kiumri amekuwa akiniita "my son..."

Simwelewi kabisa na wakati mwingine nahisi ananidharau je anamaanisna nini?
 
Labda kaona una vi interest so anakuzima polepole, any way son neno la kawaida sana! Chillax
 
anataka son jojo..... soon she will take care of every thing
 
Duh! Sometimes mtu anaweza akakuita tu si kwasababu ana kitu anataka. Used to call my friends ambao ni male 'SON'!
 
Imekuwa ni muda sasa, Kila nifikapo kazini huyu dada tunafanya nae kazi sehemu moja na ninamzidi kiumri amekuwa akiniita "my son..."

Simwelewi kabisa na wakati mwingine nahisi ananidharau je anamaanisna nini?

ask her...why are you afraid of her? The first reaction is always the correct one.
 
Mh! Jaman kwan we umehs nin? Tuanze na wewe,,,
maana yaelekea we kazini una mambo / matendo ya kitoto japo umri umesonga,,. Mi navoelewa means "mtoto wa kiume" sasa ndo ujchuje upoje.
 
mwanangu unacomplicate tu,unajua nini mwanangu son ni kiingereza tu.
kama umenielewa itakuwa poa mwanangu
 
Duh
Msicomplicate hivyo jamani

Si mwanae tu....au mpaka akuzidi umri...ni jina kama iina jingine.....

Itakuwa huyo dada kasoma boarding
 
Maybe Unajina kama mtoto wake wakiume...
 
Pengine unaitwa DICKSON sasa anaogopa kusema MY DICK hivyo anaita my son...acha uoga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…