Akikua Ataacha

bado hajakua hata mara moja
 
Huyo ni tayari mkubwa isipokuwa ujana bado unamdumaza kwa raha za utoto na siyo mbaya mzee kudeka na ujana bado
 
Nasikea vijana wa zamani walikuwa wanalieta shorre au kijogoo
 
Matatizo ya kuvuka stage haya!!! Wadau tujifunze hapa kutopitwa na wakati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…