Akifika kileleni huning'ata nini dawa yake?

manSniper

JF-Expert Member
Sep 9, 2015
814
679
Nina mpenzi wangu ananipenda sana kwa dhati, pindi tuwapo faragha tukianza tu ugonjwa wake nikuning'ata hakawii kufika kileleni.

Ananishangaza jinsi hunibana hadi kukosa pumzi, na nikikaa vibaya huning'ata kanisababishia makovu mwilini.

Hadi ikifika kuwaza kwenda kwenye shughuli naogopa kung'atwa hii inachangiwa na nini na je kuna dawa ya kuweza kumpa aache hii tabia?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom