Akaunti ya Instagram ya Humprey Polepole yafutwa?

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,709
Reaction score
9,030
Akauti ya Instagram aliyokuwa anatumia Humphrey Polepole imefutwa ikiwa ni siku moja baada kusemekana ametekwa na watu wasiojulikana.

1759832380728.png
 
Write your reply...safi sana mange nae kesho analiwa huko huko usa
Uzuri ni kuwa kifo hakina mwenyewe, watu wote watakufa uwe umekosoa serikali au hujakosoa jua utakufa tu. Point yako ingekua na maana kama kuna watu wangekua hawafi

Wapo waliolulisa wakati wa nyerere, walioua na nyerere yupo wapi?
Wapo waliolulisa wakati wa mwinyi, mwinyi na hao waliotumwa kuua aapo wapi?
Wapo waliolulisa wakati wa mkapa, mkapa yupo wapi?
Wapo waliouliwa wakati wa jk, jk nae atakufa tu hawezi kukwepa
Wapo waliolulisa wakati wa magufuli, magu yupo wapi?
Hata sasa wanaoua wakati huu wa Samia, muda utafika Samia nae atakufa hawezi kukwepa kifo

Ukiyajua hayo basi huwezi shangilia watu kuuawa
 
Upo sahihi sana mkuu unasema vyema sana ila watu baadhi inakua ngumu kuelewa sabaabu wamechagua kutokuelewa
 
Uzuri ni kwamba, wananchi wakiamua kufanya maamuzi sahihi wanaweza ila bado tuna uoga ndani yetu.

Anahitajika mtu mmoja mwenye uthubutu, atakayefanya maamuzi sahihi ili sote tumuunge mkono (sio maamuzi sahihi ya online) ila mtu huyu anaangushwa na sisi wananchi wenyewe.
 
Back
Top Bottom