Akasomee kitu Gani?

Akasomee kitu Gani?

Darkhorse001

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2020
Posts
310
Reaction score
548
Habari za muda wama JF!

Samahani. Niko na rafiki yangu ambaye yeye amehitimu diploma ya ualimu wa physics na chemistry (PCE) Lakini anahitaji kusoma course nyingine tofauti na ualimu.

Matamanio yake ni medical lab, pharmacy na radiology! Lakini wasi wasi wake mkubwa ni kwamba afadhali angekua kasoma biology!

Kwa mwenye uzoefu na exposure na hili jambo anaweza kumsaidia mawazo!

Nawasilisha
 
Tayari ana Dip ya Ualimu aendelee na ualimu
 
Back
Top Bottom