Akasema kuwa..

Akasema kuwa...huu uz


Akasema kuwa...watanzania ni wavivu wa kuanduk







Watanzania ni wavivu wa kufikiri
 
Akasema kuwa wa tz huwa hawasomi vitabu.
 
Akasema kuwa bunge la katiba livunjwe
 
Akasema kuwa vjna wanapenda kugegedana
 
Akasema kuwa amepewa bure..na yeye anagawa bure
 
Akasema kuwa njaa ikiingia kichwani akili inaingia tumboni
 
Akasema kuwa
1: kuleni nyasi ndege ya rais lazima inunuliwe. (Mramba)
2. Foleni dar ni ishara ya maendeleo (jk)
3. Acheni wivu wa kike (msekwa)
4. Asiyeweza kulipa nauli ya kivuko apige mbizi (magufuli)
5. Baada ya kutumia helicopter ya jeshi kwenda nayo urambo mlitaka nitumie punda" (kapuya)
6. Wabunge wa dar mnafikiria kwa kutumia makalio (masaburi)
7. Ukitaka kula lazima uliwe (jk)
8. Mnauliza mvua kwani mi waziri wa mvua (wasira)
9. Kila mwananchi atabeba msalaba wake (mukullo)
10. Wanafunzi kupata mimba ni viherehere vyao (jk)
11.asiyeweza gharama za umeme awashe kibatari ( muhongo)
12. Uchumi mnao lakini mnaukalia (nyerere)
13. Chadema tupo makini kuliko serikali ya ccm na usalama wa taifa (Dr.slaa)
14. Siongei na mbwa naongea na mwenye mbwa (juma nkamia)
15. Tumefika hapa kwa upuuzi wa ccm namaanisha tumefika hapa kwa udhaifu wa rais (john mnyika)
16. Polisi Mimi ni kama rais wao hawana cheo cha kunikamata (mch. Mtikila)
17. Watanzania tuhakikishe tunamwaga damu za kutosha tuingie ikulu (Dr slaa)
18. Ukiona tz kuna maisha magumu nenda unakoona kuna vya dezo (jk)
19. Wanaoishi mbagala wote pumbavu (mkapa)
20. Msinywe mchuzi wa sangara unawaletea nyege mtapata ukimwi bure (lowasa)
21. Wanaoandamana kuweka mgomo piga tuu..(pinda)
22. Mtaenda kazini mkiwa na ngeu mkigoma (jk)
23. Supplementary ni somo kama masomo mengine. (Mulugo)
24. Tanzania ni muun gano wa visiwa vya Zanzibar na Zimbabwe. (Mulugo)
25. Anayeona mshahara haumtoshi aache kazi (jk)
26. Nampongeza maalim seif kwa kupata kura nyingi ila nampongeza karume kwa kuchaguliwa kuwa rais wa Zanzibar (mwinyi).....
Viongozi wetu ni sheedaaah!
 

mulugo,jk,lowasa & wasira u guys made my day
 
Akasema kuwa hatasema tena kwa sababu tumekataa kubadilika.
 
Akasema kuwa..You can not keep chiken as a pet..because one day you will end up eating it
 
Babu ili kuonyesha na yeye kiomombo kinapanda....Akasema kuwa ...dokta nnasumbuliwa na ear phone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…