Chachasteven
JF-Expert Member
- Jul 4, 2014
- 1,941
- 2,043
Jamani wana JF,
Mimi nilimtokea mtoto mmoja mkali kinyama na kiukweli ata yeye huaga ananikubali kidizaini flani hivi amazing. Ila tangu nimemtokea sasa wiki imepita sijapata jibu nikimwambia ananiambia niendelee kusubiri. Huku mimi nikizidisha kumpiga mistari cha ajabu marafiki zake wananiita shemeji.
Naombeni msaada wakuu hivi nimfanyaje ili nipate mapema mzigo.
Au anaposema subiri nitakupa jibu ndo ameshakubali?