Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,822
- 5,415
Safi sana, nilimsikia Mheshimiwa Rais katika interview yake na ICCF kuwa kishaamuwa kuliingiza Jeshi la Wananchi kushughulikia hii mambo, naona kazi imeanza:
[video=youtube_share;Hxp1EN-_NUY]http://youtu.be/Hxp1EN-_NUY[/video]
Huyo jamaa namjua vizuri ndio dili zake kitambo sana
acha unafiki we ngosha 2011,ulikuwa wapi?mpaka kakamatwa ndo wasema
Lazima kuchukua tahadhari unapodeal na hao jamaa maana unawezajikuta unashambuliwa na al shabaab au al khaeda.kweli kabisa.Ila nawasikitikia raia waliochezea kichapo kikali eti kisa tu walipita karibu na nyumba hyo tena bila kujua kuna lolote linaendelea, iliyozungukwa na wajeda hao.
sisi ndio tumesababisha kukamatwa kwake na sio yeye tu,tegemea kusikia mengi toka mbinga kuanzia leo
WaTZ tumezidi mno kushangaa hata panapostahili kukimbia. Usikute walitaka kuwa wa kwanza kuipata hiyo news ili waonekane wakali. Poleni mliochezea kichapo hicho. Chezea JWTZ weye!kweli kabisa.Ila nawasikitikia raia waliochezea kichapo kikali eti kisa tu walipita karibu na nyumba hyo tena bila kujua kuna lolote linaendelea, iliyozungukwa na wajeda hao.
kumbe mbinga nao wapo
ngosha muda wote ameka kimya coz walikuwa wanmtuliza na cash inaonekana ameuza dili baada ya kubaniwa maana tatizo kubwa ya watumishi wa serkali ni cash tu ! Ukitoa cash fanya unavotaka na wao ndio wanakusaidia na ukiwabania tu wanakugauka mfano wao kina ngosha lol
huyu hakutumwa na lile the tembo dictator kweli, nauuliza tu
Huyo jamaa namjua vizuri ndio dili zake kitambo sana
hiyo kazi alikuwa na anapiga na watu ambao nikikuambia huwezi amini
hiyo kazi alikuwa na anapiga na watu ambao nikikuambia huwezi amini