Akamatwa Live Gesti na Denti wake!

under age ni miaka mingapi vile?

Hajabaka ni masuala ya makubaliano, itakuwa ni kumuonea kumpiga mvua 30. Huyu anatakiwa achapwe viboko 12 na mwaka 1 ndani, inatosha kuwaonya wakwale. Wanawake kibao wako mtaani kwanini wanafunzi?
 
Bilashaka alikua anamfundisha Logarithim...hesabu zake ni ngumu mno mie hadi sasa sitaki kuzisikia.
 
kwa hali kam hii lawama kwa walimi ,Hivi anumri gani huyu binti ?hatari lakini salama
.....jamani nilikuwa namfundisha hesabu za square...square..!!
 
sasa hayo ni ya mchina au ni mto ameuweka juu ya malio yake nakufunika taula?Loo chamtu Mav!!!!!!.
 
sema weye kaka maana avatar yake yanitia wasi hasa mie wapwani maana amekakalia kinyume hako kadog aaya ila thanx for aatchment,
tatizo waalimu wa sikuizi na wanafunzi wanahamasisha angalia body hapo utashindwa hata moja plus moja angalieni tangazo la mwalimu tv fulani
Conquest-ukwaju chachandu au juice
 
Walimu wa siku hizi maadili yahayo kabisa. Unapompeleka mtoto wa kike shule ni sawa na kucheza kamali. Anything can happen.
 
attachment.php

.....mmmmhhhh!!!!!!
 
“Kuhusu hili la Mwalimu Leizer, huyu binti yetu amekuwa akimlalamikia kwa muda mrefu akieleza kuwa, amekuwa akimsumbua akimtaka kimapenzi. Licha ya kumkatalia mwalimu huyu amekuwa akimlazimisha na leo amemwambia wakutane katika gesti ya Mori, eti kuna mambo anataka kumwambia, tunaomba mtusaidie ili tuweze kumnasa fataki huyu.”

mnajua udaku mwingine unatungwa vibaya. denti amekuwa akilalamika mbona hapo amechanua miguu kwa hiyari kabisa na kumvisha kondom jamaa, huu ushigongo hauna maana.
 
Bora kwa vile alikumbuka kubeba zana za kazi.kiasi inasaidia kuliko ku kandamiza pekupeku.But Madenti nao kwa kujipendekeza kwa Ma Ticha wamezidi sana.
 
This is so farcical... I bet we all have better things to do than discussing what this two were doing.... wasitirini wenzenu jamani ili mungu awastiri nanyie heee...
 
basi nasema kila mtu na awe na mke wake

mwenye na mwanamke awe na mme wake mwenyewe

itakuwa ni ole tena nasema, ole wao wazinzi maana hawataurithi ufalme wa Mungu
 
Hivi denti wa kidato cha tatu ana miaka mingapi vile? Na huyu mwalimu umri wake? Naona kama walielewana tu. Hao waandishi nao muflisi kabisa, hili ni fumanizi kivipi, nani mlalamikaji hapo? Kwani huyo mwanafunzi ni mke wa mtu? Au mke wa huyo mwalimu yuko wapi, mbona hatuambiwi kuwa ndie mlalamikaji, pengine hata hajaoa huyo mwalimu. Ujinga tu wa waandishi wetu. Mwalim mwenyewe anaonekana kabisa ni wale yeboyebo, kamaliza form six mwaka huu hata sura inaonesha bado mtoto. Hawa ni rika moja tu, hilo la ualimu na uanafunzi ni labels tu lakini kwa hali halisi ni rika moja, wanafanya kinachofanywa na watu wa rika hilo. Tuacheni hukmu za kijinga.

Kweli mimi nakubali kabisa hoja hii ni safi kwa kuwa hatumjui mlalamikaji, na kwa kuwa zana walitumia, na kwa kuwa mwanafunzi hajalalamika, kwanza hata nguo zake hatujaziona kuthibitisha uanafunzi wake. Huyo jamaa ameonewa kitendo alichofanyiwa na hao waliomfumania ni kukiuka haki za kibinadamu. Wamuache amalizie!!!!! maana huyo mtoto wa kike amevaa tauro kwa maana kuwa bado anataka!!!!
 
Back
Top Bottom