Wakuu huu uholela wa wafanyabiashra wanaojiita wamachinga unakera sana, kila kona ya jiji barabara zote wamejaa wao. Tena ni bora wangekuwa hata na mabanda ya maana, humu barabarani umejaa uchafu tu.. Ukienda Mbagala wamejenga mabanda mpaka katikati ya barabara, na TANROADS wanawaangalia tu...