Akaa Wangoni na Wapare akuu

Akaa Wangoni na Wapare akuu

Msandawe Halisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
647
Reaction score
351
Dada moja ananiabarisha hapa ofisini. Akimaanisha atoi sikio lake kusikiliza nyimbo za hawa wanaume wa makabila tajwa hapo juu.
Sikia ananitaja jina. Hawa watu kuwaruka viunzi vyao yaitaji akili ya ziada. Mngoni kwanza anakuja na ngonjera akishidwa anakuja na style ya kuonga hapo yupo radhi aonge atakavyo mwisho wa siku lazima afanikiwe. Halafu hawa Wangoni wash... anatukana kidogo. Anaweza tembea na Mtoto wa Mama, Mama mwenyewe na house girl bila kutambuana.
Sasa hawa wapare sitaki hata kuwasikia. Wanajua kubembeleza hata nyimbo za Celion Dion zinaweza kuonekana azifai. Akiona mafanikio hafifu hitimisho lake anamwaga chozi kabisa. Wadau kuna ka ukweli wowote
 
mmmh cku hizi kila mtu ana staili ya kutongozea, wala haijalishi kabila gani anatoka. Wahehe pia ni wazuri sn ktk kulia wakiwa wanatongoza but care ni ziro
 
kha... ukabila tena? kwa hiyo yeye cha kwanza anauliza wewe kabila gani?
 
kha... ukabila tena? kwa hiyo yeye cha kwanza anauliza wewe kabila gani?
Bila shaka. Yupo tofauti na wadada zetu wa JF. Wao vigezo vyao mtu awe na Master, kipato kizuri pamoja na umri uwe umeenda.
 
Mmh! Kumbe... Kutongozwa kwingi kugundua mengi! Lol!
 
Nina historia nao, wesha wahi niibia wanawake wangu, hao wote wawili.
Gilbert sanga hebu njoo huku mnasemwa kwa mambinu yenu ya medani.
 
Haaah haaah haaaah, Proudly to be PARE one....!!

Nimeshawatafuna sana kule BBM
 
Last edited by a moderator:
ntauweka wapi uso wangu na UNGONI WANGU,ME NAHIS HIZI NI HISIA TU,WANGONI TUPO CALM SANA NA WE CARE
 
Mimi nikimtaka demu wa kingoni natoka naye tu na kumpa kilaji cha kiushkaji akishapata stimu naimbisha kitu na dakika 10 zijazo nakuwa nakula kitu mahali bila hata ya kupoteza nguvu nyingi !

Mngoni akishapata kinywaji kidogo tu , kwishaaaa kazi !
 
Back
Top Bottom