Dada moja ananiabarisha hapa ofisini. Akimaanisha atoi sikio lake kusikiliza nyimbo za hawa wanaume wa makabila tajwa hapo juu.
Sikia ananitaja jina. Hawa watu kuwaruka viunzi vyao yaitaji akili ya ziada. Mngoni kwanza anakuja na ngonjera akishidwa anakuja na style ya kuonga hapo yupo radhi aonge atakavyo mwisho wa siku lazima afanikiwe. Halafu hawa Wangoni wash... anatukana kidogo. Anaweza tembea na Mtoto wa Mama, Mama mwenyewe na house girl bila kutambuana.
Sasa hawa wapare sitaki hata kuwasikia. Wanajua kubembeleza hata nyimbo za Celion Dion zinaweza kuonekana azifai. Akiona mafanikio hafifu hitimisho lake anamwaga chozi kabisa. Wadau kuna ka ukweli wowote