Kuolewa na mgoni ni bora uitwe mgumba hahahaahahah kuna jamaa yangu mngoni ni dr.an watoto sita nje na mkewe wa ndoa ana watotot wawili halali bila k ,hanywi bar ambayo haina guest house hata baamedi ni halali yake ni dr mnh anakula mpaka wagonjwa lol mngoni akuuuuu hao wapare ogopaaa wahuni alafu akikuoa na ndugu wooooooooooooooooote kijijini mtaishi nyumba moja wanahamia hata kama ni 1room
<br />Wachagga vipi? mbona viongozi wengi wameoa uchagani?
nitaamka nimpige mtu hapa. Sipendi wanavyotuchukulia.ah mleke tuu kaka !
mmmh cku hizi kila mtu ana staili ya kutongozea, wala haijalishi kabila gani anatoka. Wahehe pia ni wazuri sn ktk kulia wakiwa wanatongoza but care ni ziro
hee! NamwengaWenga kyani huku? aah aah nene nituli tuli panyumba hapa lakini mnileka ng'o! niwakosi kiki? Munileke mwana wa muyenu!
Na wanaume wa kinyamwezi wakoje wakuu? Kuna binamu yangu alimsimulia mke wangu kuwa amempata mnyamwezi ila bado at very base stage? Sasa hebu tupeni ndogondogo hapa.
kwani ukijitaja kuna ubaya gani hadi usingizie ndugu yako !!??
Ndugu tutake radhi wahehe sie hatuko na hizo sifa labda unaemsema ni rimiksi