Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,934
sema unaomba kujua kama hukumu ya Ubakaji Inaweza kutenguliwa acha kujiondoa uhusika wa tukio wakati muhusika ni wewe Mwenyewe? Nenda kwa Mwanasheria elezea ukweli wote yeye ataandika Order ya kureview hiyo hukumu baada ya hapo faili lake litaletwa kwa kuangalia mashahidi..Ila yawezekana na mwalimu alishindwa kuvumilia si unajua tena kabinti kachanga..hahaha ila anaomba kujua kama hukumu ya ubakaji inaweza ikatenguliwa.
Ila unaoneka upo vizuri kwenye kaavatar kako Ushimen njooo huku kuna kichwa kinaleta uongo
