Waliochaguliwa ajuco tukutane hapa tuongelee yanayotuhusu
Kwa kozi ya MD,,, Peramiho campus, kuna challenge zipi pale, academically, mazingira, hostel au upatikanaji nyumba za kupanga,,
Wenyeji kweny hiyo campus tunaomba mtujulishe zaidi,,,
Sabab naskia hali ya kimazingira na makazi ni ngumu kwa hiyo campus,,