Ajitokeza kumfufua NYERERE


wamruhusu tu itakuwa habari nzuri sana maana inauma sana kuona nchi inauzwa kwa pipi
 

kwa hiyo akishindwa kumfufua na ccm ndo kwa heri?au hakuna uhusiano hapo!
 

kavurugwa!
 
Mimi nashauri kama huyu babu aliwahi kuwa mtumishi wa umma, serikali ilimpe mafao yake alee wajukuu kwa amani kuliko kuja na hadithi hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…