PistolGang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2013
- 392
- 44
NI HILI SHARTI LA 9 na 10:
ix. Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wanakibali cha Katibu Mkuu Kiongozi. x. Waombaji kazi ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika utumishi wa umma wasiombe na wanatakiwa kuzingatia maelekezo yaliyo katika Waraka Na CAC. 45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Novemba, 2010.
Nachotaka kujua wao watafahamu vipi kuwa huyu tiyari ni muajiriwa sekta fulani ya utumishi na wakati barua zinapelekwa hard copies? au maelezo mengine ya ziada nifahamisheni.