Ajira za walimu

Ajira za walimu

aman abdalah

Member
Joined
Jun 6, 2014
Posts
53
Reaction score
4
Jamani naomba msaada kwa wale ambao wanafanya application juu ya Ajira za walimu zilizotangazwa juzi kati, Sasa nimeappload academic transcriptl lakini nikiviewe naambiwa ni nimeappload Grade A certificate,sasa hii Grade A certificate ndo transcript au? Maana sielewi,hata kwenye zile options za kuattach sijaona hiyo Grade A attachment ili nidhani kwamba nimekosea. Msaada tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Relax hiyo ni technical error watarekebisha, hata mimi nimeona hivyo kwa dogo langu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom