Ajira za walimu zitatoka lini?

Ajira za walimu zitatoka lini?

sir j

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Posts
319
Reaction score
214
Wanajamvi,,,,

Tuliambiwa na serikali kuwa ajira zingekuwa tayari mwezi May.......lakini mpaka sasa ni juma la pili la mwezi Juni laelekea mwisho.

Je, taasisi husika iliamua kudanganya watanzania kwa manufaa gani......????

Tatizo ni nini mpaka sasa zisiwe tayari......???

Mwenye kujua zaidi atuambie ni lini zitakuwa released......

"Njoo uyaone maajabu ya nyumba yetu" ________ Mpoto
 
Limetoka tamko kuwa ajira za walimu wa sanaa na biashara hakuna. ... wawe wavumilivu kutokana na uvumi wa barua inayo tembea kuwa imetoka eti tamisemi... sasa sijui ni kweli au laa... mm nimeumia sana naombea hili tangazo lisiwe la kweli
 
Pole sana ndugu. Kiza huzidi karibu na pambazuko. Uendelee kuvumilia, lolote litatokea tu
 
1465583541248.jpg
.

TAMISEM IMEKANUSHA HABARI HIZO..ILA KAMA KAWAIDA YAKE..
AJIRA ZIKIWA TAYARI WATATNGAZA
 
Lisemwalo lipo jamaa ,nikweli walimu wa sanaa wamezidi na ziada wapo 7000 ,je watawajiri ili wapelekwe wapi?na je hao wa mwaka wa pili,watatu vyuoni nini hatima yao?kwa mtazamo me naomba serkali isiwaache ila wawapeleke primary maana naamini huko kuna upungufu mkubwa kuliko secondary ,zen hizo program za walimu wa sanaa wazistopishe maana zinawatia tumbo jto walimu na vijana kwa soko la ajira.
 
Kuajiriwa Primary haiwezekani kwa sababu,,,,,,ujue wamesoma degrees na diploma zao za sekondari na SIO za primary.........in term of content delivery italeta taabu sana......as a result italeta mvurugano tuu kwenye mfumo mzima wa elimu ya Tanzania.
 
Lisemwalo lipo jamaa ,nikweli walimu wa sanaa wamezidi na ziada wapo 7000 ,je watawajiri ili wapelekwe wapi?na je hao wa mwaka wa pili,watatu vyuoni nini hatima yao?kwa mtazamo me naomba serkali isiwaache ila wawapeleke primary maana naamini huko kuna upungufu mkubwa kuliko secondary ,zen hizo program za walimu wa sanaa wazistopishe maana zinawatia tumbo jto walimu na vijana kwa soko la ajira.
Duuuu!.....

Hivi umefikiria vizur kabla ya kuandika Mkuu!!?.........

Back
Top Bottom