Boeing787-8
JF-Expert Member
- Aug 16, 2018
- 1,194
- 1,284
Khaa Sasa wewe utume maombi afu akiri ivurugikeShida ndo hii kuvurugana tu akili kwan wangeacha kutangaza ss tungewafanyaje?
Khaa Sasa wewe utume maombi afu akiri ivurugikeShida ndo hii kuvurugana tu akili kwan wangeacha kutangaza ss tungewafanyaje?
Hamna sio hawa ni wale Mbao wapo kwenye mfumoNa nyie walimu sindo uwa mnashirikiana na CCM kuiba kula za wananchi
kila mtu abebe mzigo wake nendeni kwenye ofisi za Ccm mkalalamike
Walimu mnatumika km kondomu tu ukiwa unaenda mechi kondomu inakaa mfuko wa shati tena inatunzwa vzr ila baada ya Mechi kondomu inatupwa chooni au kichakani sasa ndo nyie walimu
Hata hao wa 10 years wamo miongoni na wako kimya. Nafahamu kadhaa.January to December pafupi sana, subiri upigike hata 10yrs mtaani ndio utaelewa.
SeriouslySubiri next week wanatoa PDF. kuwa mpolee.

Mnalishana tango poriSubiri next week wanatoa PDF. kuwa mpolee.
nawew ungeacha kuomba wangekufanyje😂Shida ndo hii kuvurugana tu akili kwan wangeacha kutangaza ss tungewafanyaje?
Yaani aombe mwenyewe afu akiri yake ivurugike Bado awalaumi Utumishinawew ungeacha kuomba wangekufanyje😂
Ata wakitoa January shida Iko wapi?Ikifika tarehe 20 kama hamna pdf sidhani kama kama watatoa tena labda mpaka mwakani miezi ya mwanzo
Jamani hakuna pdf itatoka bila interview utumishi kwaiyo huu mwezi msisubirie pdf kwamba itatoka ni mpaka interview zianze January 17Ata wakitoa January shida Iko wapi?
Hizi habari za gpa ni kudanganyana coz hakuna tangazo lolote serikali imelitoa kuonyesha namna hiyo. Hivyo basi watu msiache kujiandaa na interview maana January ndio watatangaza interview ili walimu wakaripoti March. Maana mwaka ujao serikali haitoajiri Tena waalimu inataka hizi nafasi za mwaka huu ndio zizibe gepu la kuajiri mwakani.simnajua siasa au mpaka mkumbushweJamani hakuna pdf itatoka bila interview utumishi kwaiyo huu mwezi msisubirie pdf kwamba itatoka ni mpaka interview zianze January 17
Umwchanganyikiwa weweHizi habari za gpa ni kudanganyana coz hakuna tangazo lolote serikali imelitoa kuonyesha namna hiyo. Hivyo basi watu msiache kujiandaa na interview maana January ndio watatangaza interview ili walimu wakaripoti March. Maana mwaka ujao serikali haitoajiri Tena waalimu inataka hizi nafasi za mwaka huu ndio zizibe gepu la kuajiri mwakani.simnajua siasa au mpaka mkumbushwe