ajira za walimu wapya 2011 lini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ajira za walimu wapya 2011 lini?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by MWL MTZ, Sep 29, 2011.

 1. MWL MTZ

  MWL MTZ Member

  #1
  Sep 29, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Napenda kuiuliza wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi kuwa ni lini watawaajiri walimu wapya 2011? maana tunasema kila siku kuwa shule zetu zina upungufu wa walimu wakati walimu wamejazana mitaani bila ajira? na je tutegemee nini katika matokeo ya form iv mwaka huu.
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Mkuu,kama 2 pesa za kuwafadhili madogo vyuon wameishiwa,ndo ije kuwa kuajiri walimu wapya..tafuta means ya kutoka kvingne 2 m2 wangu.
   
 3. S

  Spellan JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 309
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hii serikali,,, tupa kuleeeee!!
   
 4. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #4
  Sep 29, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  Serikali inajipanga. Usihofu.
   
 5. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #5
  Sep 29, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,872
  Likes Received: 1,560
  Trophy Points: 280
  Wait wanafanya upembuzi yakinifu..
   
 6. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #6
  Oct 1, 2011
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  wafanyakazi wa serikali mshahara wa kuwalipa mwezi huu imekuwa ishu kupatikana,wamewekwa pending itakuwa hela za kuajiri waajiriwa wapya,kafundishe private kaka sio lazima govt
   
 7. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #7
  Oct 1, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  acha uongo. Mshahara umeshaingia kitambo.
   
 8. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #8
  Oct 1, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  serikali iko mbioni .. iko kwny mchakato..!!
   
 9. M

  Mr.creative JF-Expert Member

  #9
  Oct 1, 2011
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 504
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  unasema kweli wi-fi?
   
Loading...