Ajira za walimu Tamisemi

Ajira za walimu Tamisemi

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,388
Reaction score
10,847
Hope mko poa

Tamisemi kwenye ajira za walimu, wanatoa option ya muombaji kuchagua shule anayoitaka. Muombaji anapewa option tano.

Lakini Cha kushangaza vijana waliopata ajira ninao wafahamu, hakuna ata mmoja aliyepangiwa shule aliyoomba.

Je kuna walimu waliopangiwa shule walizoomba ambao wewe msomaji wa hii thread unawafahamu.

Kama waombaji hawapingiwi shule walizoomba, je Kuna haja gani ya kuchagua shule wakati wa application

Karibu
 
Unapewa option uchague!.. ila mwisho wa siku wanaanza kuangalia option ulizochagua ziko kwenye kundi la uhitaji sana!?.. hivo kama zipo utapata, kama hazipo watakupeleka wanakotaka wao huko kwenye uhitaji.

Wengi wanaoomba utakuta anaomba shule za hapo dsm dom ama mikoa mingine kwenye hizi shule za katikati manispaa so unakuta ni changamoto kupata, maana wakifata option zenu pekee, wote mtabaki town na hakutakua na mtu huko mashambani..

So lengo la option za kuchagua wanalizingatia ila kwa kuoanisha na option zao za shule ambazo wataajiri.

Asante!..
 
Nadhani vijana wameelewa mtu anaomba kazi kwenye municipal tu, Nani atakuajiri,sema siku hizi na walimu wa kike wanapewa Sana kipaumbele
 
Mi naona ni fair tu hata wa kiume wako wengi pia.. nmeona ajira za mwaka jana ilikua fair wanaume na wanawake!!..
 
Walimu waliomaliza degree 2017, waliopangiwa kwa chemistry and Biological 80% walichukuwa wa kike
 
Alafu kuna MTU aliniambia kuwa mbinu mojawapo ya kupata nafasi n kuomba sehemu zenye uhitaji mn sehem za mjini lbd uwe na connection
 
Kwamba wanaokosa wote wanaomba mijini? No, wanachukuia hivi mfano shule x inaitaji Mwalimu wa Biology, wakiangalia wameomba Watu wa3 let say A kamaliza 2018, B- kamaliza 2018 na C- kamaliza 2017, basi wanachukua wa 2017, Kama wote ni wa mwaka mmoja wanachukua Wa kike, Kama wote ni same gender,same year of graduating, Basi wanachukua aliyewahi kuomba
 
Back
Top Bottom