Habari zenu waungwana!
Mwezi wa saba hawa jamaa wa utumishi walichukua dodoso kwa baadhi ya wanafunzi wachache wa mwaka wa mwisho wenye ufaulu mzuri pale IFM. ambapo walipigiwa simu kwenda kujaza hizo dodoso na baadhi yao walishafuatiliwa taarifa zao kwa wadhamini waliowajaza ktk hzo dodoso.
Ila tunaona sasa imekua kimya mpaka leo na hakuna taarifa zozote wala aina za kazi ambazo zilikuwa zikitakiwa, Naomba kama kuna yeyote mwenye taarifa kuhusiana na hao jamaa atujuze!!!