Ajira za uhamiaji zapelekwa JKT

Ajira za uhamiaji zapelekwa JKT

....ni upuuzi ambao yapaswa WANANCHI tuwaamulie kweli hawa watu... Hakuna UHALALI wakuchukua wafanyakazi ambao tayari wapo kwenye AJIRA tena Jeshini halafu huku URAIANI wanaachwa wasomi pia kisa eti Kuogopa UNDUGU.

ndugu una uhakika na ulichokiandika?tuliza jazba kaka
 
EEEEENH!

walioko uraiani huku ndio imekula?
Sikubaliani na ajira za uhamiaji kukasimiwa na JKT. Tunahitaji idara yote ya uhamiaji isafishwe,ili mchakato wa kuajiri watumishi wake uzingatie vigezo na siyo kujuana,
 
...myself sioni tena haja ya kukaa na vyeti,.. kusoma UMESOTA mpaka kufikia point angalau unapokea cheti, KAZI unasotea halafu kibaya zaidi majitu kama ya UHAMIAJI yanakuletea KIGUNDU eti japo UMEFUZU usahili na kuitwa kwenye AJIRA halafu unafutwa kwa kuambiwa haikuwa HALALI..

inauma sana i see! halafu utakuta mitutusa kama MSALANI inashabikia us*ng* huu unaofanywa na serikali ya migamba! ovyo kabisa.
 
inauma sana i see! halafu utakuta mitutusa kama MSALANI inashabikia us*ng* huu unaofanywa na serikali ya migamba! ovyo kabisa.

zinapotokea changes watu wengine lazima waumie...inauma inaboa but itapunguza uzembe ktk idara nyingine...alaf kama ipo ipo tu...
 
Fukuza fukuza uhamiaji imejaa wala rusha na mkishaajiri wapya njooni huku Airte Nokia na Vodacom Nokia kuna wahindi na wakenya wamejaa na wanalidwa sana na hawa wala rushwa.

Uhamiaji tatizo kwa Nchi hii, fukuza
 
Chanzo cha ndani kabisa kutoka wizarani ya mambo ya ndani !! Nafasi zitatangazwa tena kuanzia wiki ijayo !! Hayo maelezo yaliyotolewa na mleta thread ni mapendekezo ya kamati ya uchunguzi na si lazima yafuatwe!! Mchakato utasimamiwa na wizara husika !!

mkuu, mchakato utasimamiwaje na hao KIMA walioshindwa kuamua kesi ya NGEDERE? hao si ndio walewale NGUCHIRO wasiokuwa na chembe ya khaya?
 
Na wale wa Assistant Inspector of Immigration Services wameshaenda depo?
 
Nimeipenda ,kweli ndani ya jkt kuna vijana wanataaluma nzuri na wapo tayr kulitumikia taifa lao na mpaka sasa wapo vikosini wakijitolea kuzalishia taifa , kule hakuna upendeleo unasifa unapita,ni wazo zuri nimelipenda sana
 
Back
Top Bottom