Ajira za uhamiaji zapelekwa JKT

Ajira za uhamiaji zapelekwa JKT

Wanasema Kuna amani.. Lakini sioni faida yake, amani na sina uhakika wa Kula wala kutibiwa, sasa hii amani gani jameni.. Hivi na hii gas weshaanza kuiuza eee
 
Duh poleni watu 10000+ kwa kupoteza hela za kufanyia interview, chakula siki hiyo na malazi, kichomwa jua
 
Sitii neno nisije kuonekana mbaya bure
 
Uhuru na Umoja. Tanzania Nchi huru na ya haki! Ikiainishwa kuwa kina nani waliyopata kihalali na wasiyo halali kati ya hao wateule, na waliyo haki kupewa haki yao, kwa kufanya hivyo basi, usawa usio kuwa na upendeleo wa upande wowote ule utakuwa umewekwa bayana. Mungu ibariki Tanzania.
 
Uhuru na Umoja. Tanzania Nchi huru na ya haki! Ikiainishwa kuwa kina nani waliyopata kihalali na wasiyo halali kati ya hao wateule, na waliyo haki kupewa haki yao, kwa kufanya hivyo basi, usawa usio kuwa na upendeleo wa upande wowote ule utakuwa umewekwa bayana. Mungu ibariki Tanzania.

....kwa haya maandishi yako ni SAHIHI ila cha ajabu TUME haikutanabaisha wangapi walikuwa wamepita KIHALALI hata kama ni 20 wao WAKATUBWAGA wote.
 
''...mchakato ULIHARIBIWA tokea awali, na kilichotokea ni mgongano wa MASLAHI..'' [katibu -Uhamiaji]

hivi inakuja akilini kweli kuwa wote 200 walipendelewa? Au kuamua kitu kiitwacho ACHA WAKOSE WOTE?
 
Wengi wanatakiwa ni vijana,ukiwauliza mnapiga kura au siasa zikoje watakujibu hawana muda na siasa,kwa hiyo mm naona sawa sawa vijana watajua walikosea wapi na warekebishe nini!
 
Hapa kuna umuhimu wa kuingia JKT, maana watu wanapata shavu sana. ila sijawahi sikia ajira zikilalamikiwa kwa upande wa JKT.
 
....yaani hii RIPOTI ya TUME mbona haijaorodhesha IDADI ya waliopita KIHALALI..? Au mpaka tuorganise MAANDAMANO...
 
....ukimya wetu naona umetufikisha hapa VIJANA,... Sasa cha kufanya tujiorganise tu mpaka TUAMBIWE waliopita KIHALALI ni wangapi..
 
Katibu mkuu tupe majibu ni watu wangapi walipita kihalali au wote walikosa sifa...
 
Ripoti ya tume ina mapungufu mengi sana !! 1.tume ituambie na itoe majina ya waliopita kihalali 2.ituambie wangapi walighushi vyeti, pamoja na umri ,3.hatua gani imechukuliwa dhidi ya waliosababisha uzembe huu na upotevu wa pesa za umma !! Bila kufanya hivyo tunaandamana nchi nzima ! Na tutawaambia ukawa waendelee kugoma na watusaidie kulizungumza hili kwenye majukwaa ya siasa mpaka kieleweke !! Ungese kabisa .... Tunataka haki yetu itendeke!! Katibu na kamishina mkuu embu kaeni chini mlitafakari tena hili jambo najua mnatofauti sana nyinyi but hii ishu ni maisha ya watu haya na masononeki yao yatawahukumu
 
Sijaona umuhimu wa mtu kufika chuo, akamaliza na kukosa kazi, elimu inadharauliwa kwa hilo
 
Swala la undugu laizesheni Tanzania linatucosti vijana tuliomaliza chuo hata huko JKT swala la undugu na kupendeleana lipo sana
 
Umuhimu wa kuchukua JKT ni;
1. Uhamiaji wanatakiwa kuingia depo CCP Mwezi wa kumi. Hadi sasa hivi wizara imebakiwa na mwezi mmoja tu. Wakisema watangaze then watoe week mbili za watu kutuma maombi, wapate week za kuchambua, wapate week za kufanyisha watu usaili, hii ni zaidi ya mwezi.
2. JKT vijana Wapo wengi tu na wanauhitaji. ni kitendo cha siku moja tu. Usaili asubuhi jioni wanaondoka na watu wao.
3. Vijana wa JKT wanabasic zote za basic millitary course mfano kwata na mazoezi mengine ambayo kuruti wa uhamiaji lazima apitie.
4. Fire, pccb, NIDA na polisi waliochukuliwa JKT sijasikia. watu wakilalamika undugu au uzandiki wowote wa usaili.
5. Hawa ndugu zao hawapo JKT hivyo hakutakuwa na kujuana ingawa watoto wa maskini wezangu tutakosa hizi nafasi.
6.
7.
8.
9. Ngoja nifanye kazi muhindi asije zingua
 
Back
Top Bottom