Ajira za ualimu 2014

Jaman taarifa mnatoa wapi??
Wengine wanasema ndy wako wanapanga na wengine wanasema tayari washapanga....then wizara ya elimu na tamisemi ni sehem gn wanahusika kupanga??
 
Jaman taarifa mnatoa wapi??
Wengine wanasema ndy wako wanapanga na wengine wanasema tayari washapanga....then wizara ya elimu na tamisemi ni sehem gn wanahusika kupanga??

Majina yameshapangwa na wanaohusika kupanga ni wizara ya elimu' mimi mwenyewe nimeshajua nilipopangwa si unajua mipango mingi' January wanatoa post
 
Jaman taarifa mnatoa wapi??
Wengine wanasema ndy wako wanapanga na wengine wanasema tayari washapanga....then wizara ya elimu na tamisemi ni sehem gn wanahusika kupanga??

Majina yashapangwa kaka si unajua hi ndio Tanzania, majibu yanavuja kabla mtihani haujatungwa, uwe na amani January kitu na box.
 
Mchakato wa ajira mpya upo ukingoni. Hatua muhimu zinakamilishwa baada ya kikao 'elekezi' kati ya TAMISEMI (Mh. Kassim Majaliwa) na maafisa Elimu wa Mikoa na Wilaya.
Jiandae hapo baadaye kidogo kufanya kazi kijijini. Jiandae mapema kuwa mtumishi mwaminifu kwa serikali (mwajiri) na kwa jamii.
 
Wasiwasi wa nini kwenu hakuna makazi? Unataka upewe mapema nyumba ya serikali kwa ajili ya kujiifadhi? Kama wazo lako ndio hilo umechemsha kwanza zinavuja ile mbaya utakuwa unaishi kipindi cha kiangazi tu ila kipindi cha masika lazima utafute pa kuhamia
 
Sitasahau 2010 nilivyopangwa Rutamba Lindi vijijini shule ya kata ipo porini haina hata nyumba ya mwalimu nilisaini kitabu cha wageni nikaondoka kujiandaa
 
Back
Top Bottom