Ajira za Sensa na Usiasa

logan007

Senior Member
Joined
Nov 22, 2020
Posts
197
Reaction score
200
Habari

Ikumbukwe vijana wameomba na kukutana na changanoto tofauti kwenye system ya ajira.nbs.go.tz lakini zoezi halitakua huru na haki kutokana na maamuzi yatatolewa manual na sio kutumia system na wakuu wa wilaya na wenyeviti katika kuteuwa watu waliokua wamepata nafasi.
 
Kibongobongo icho kitu pigia mstari kamlete huwezi izuia ata kidogo
 
Unajua hapa tz tunatumia pesa mingi kutengeneza mifumo ambayo haipo automatic 100% ata mfumo wa ajira za ualimu na afya nao nadhani utakuwa hivi hivi nikikumbuka wa anuani za makazi ndo nachoka kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…