Brother James
JF-Expert Member
- Feb 21, 2012
- 233
- 172
Guys nimebahatika kushuhudia na kuhudhulia interviews za ajira zinazoendeshwa na Sekretariat ya ajira-UTUMISHI WA UMMA, kwa kweli inasikitisha sana kuona jinsi wanavyoziendesha kienyeji. Kila siku wanalalamika kuwa vyeti feki vinatumika ktk kuombea ajira lakini siku ya ukaguzi utacheka sana, mwakilishi anashika cheti original na kuangalia as if amekipata kabla ya interview. wataangaliaje cheti juu juu wakati kila siku wanalia na vyeti feki? Pls pls badilikeni.
Pili, nimebahatika kufanya interviews zao tatu ambazo hadi leo hii bado hawajaita mtu kazini, tena interviews zote zilikuwa za kuanzia mchujo then ndio oral interview, zote nilipita. KItu ninachotaka pia wanajamii mtambue jinsi hawa jamaa walivyo wazembe ni ktk nafasi mbili nilizofanyiwa interviews, zilikuwa zinahitaji mtu mwenye experince ya kazi si chini ya miaka 6, cha ajabu interviewees wote hakuna aliyekaguliwa vyeti vya ajira (CV) tulizopata kuzifanya/tunazozifanya zaidi walitaka academic certificates tu, je mnadhani kwa mtindo huu tutafka kweli? haiingi akili kuona sifa zinazotakiwa hazikaguliwi, au ndio tuamini kuwa watu wamekwisha andaliwa kwa ajili ya kazi husika?
SEKRETARIATI YA AJIRA KAMA MNATAKA WATU WAAMINI KAZI MNAZOFANYA KUWA SAFI PLS BADILIKENI HARAKA
Kama kuna mtu ame-experience kitu kama hiki naomba ufunguke hapa ili kuwaamsha UTUMISHI.........!!!!