Ajira za nje ya nchi hasa Dubai au USA

Ajira za nje ya nchi hasa Dubai au USA

Mkuu, ukiipata ajira nchi za warabu. Kabla ya kuondoka /kuanza safari yako, hakikisha haya umeyatekeleza kwa ufasaha
1. Gawa urithi.
2. Fanyeni mazishi ili uweze kushiriki kabisa msiba wako.
3. Chonga kabisa grave yako
4. Nunua KY jelly uwe nazo za kutosha maana huko 0713 wanakula sana.
5. Jiandae kufanya kazi masaa zaidi ya 18 Kwa siku.

Mengine, wataongezea wadau wengine.

Acha kuwa na chuki na ubaguzi.

Nenda Kariakoo tu au ilala Utatumbuliwa uko ulikokutaja silazima ufike uko.
 
Kwa wale wanaotaka ajira Abbas Mtemvu alitangaza nafasi 600 Saudi Arabia. Wahini Kama bado hawajaondoka wenye kutaka fursa
 
Ukifika maduka pale changombe mawili kituo cha bus kama unaenda temeke hesabu mtaa Wa pili toka kituoni utaona nyumba inakibao imekaa kama ofisi ukishindwa uliza kwenye mageti au bodaboda

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom