Mkuu Perry za sikukuna mtu namfahamu yuko moshi anafanya hizi kazi za nbs,sasa sijui ndo unazozizungumzia mkuu?
Zenywe n za utafiti wa mapato na matumiz ya kaya binafsi 2017/2018 usaili ushafanyk lkn hakuna majibu mpk sasakuna mtu namfahamu yuko moshi anafanya hizi kazi za nbs,sasa sijui ndo unazozizungumzia mkuu?
hata huyo anafanya mambo hayo hayo,walifanyia interview pale chuo cha takwimu changanyikeniZenywe n za utafiti wa mapato na matumiz ya kaya binafsi 2017/2018 usaili ushafanyk lkn hakuna majibu mpk sasa
Hapana hizo zilizofanyika vhanganyikeni ni za wadada tu, af haiwezekani mtu afany interview changanyikeni akafanye kazi moshi, hii ilikuwa inahusu kata na mtaa muombaji anakotoka ndo anakofanya kazihata huyo anafanya mambo hayo hayo,walifanyia interview pale chuo cha takwimu changanyikeni
Bado aiseeee, hata huku dsm kimya, naona bado wanawapa ndugu zao nafasi! Ukipata mshukur munguNauliza kwa wale waliofanya interview ya oral majibu tayar au bado maana SKU zmekua nyngi n kimy tu mm npo mwanz VP huko mikoa mingne