samahanini wadau nlikua nauliza hv course ya information management ina apply wp hasa na pia ajira unaeza pata kama sehem ipi na je unaeza kujiajir na ..pia nlikua naomba ushaur wenu kama ni nzur zaid au mbaya ili niweze badlisha course maana mi mgen kdgo apo