msaada kuhusu uelewa wa koz ya information management

Msokwa1

JF-Expert Member
Mar 2, 2018
470
511
wajumvi wa jukwaa hili naomba msaada wa mawaidha kuhusu koz ya information managent,nins ndugu yangu kachaguliwa kozi hiyo round ya pili chuo cha tumain campus ya dar es salaam naomba msaada wa kuelewa mambo yafuatayo
1.mahala pa kazi kwa coz hiyo
2.soko la ajira baada ya kuitim
3. kuna option mbili kwenda education kwa masomo ya bios and geo ama kwenda kusoma hii koz ipi ni nzur zaid?
natanguliza shukran
 
GOOGLE + YOUTUBE are YOUR BEST FRIEND.

#ASANTE
#YNWA
 
Back
Top Bottom