Uli interview kwa specific position? Miezi nane utakuwa umekosa.
"Only successful candidates will be contacted"...
Na imani huu ujumbe unawekwa katika kila tangazo la kazi..
So ukiona kimya hujue your not succeed as hawawezi kumaliza vocha zao na muda kumpigia kila mtu aliyeomba,, wanaopigiwa ni waliofanikiwa
hapo kwenye red ndo kuna tatizoWasalaam JF!
Napenda kuuliza jamani hawa Barrick utaratibu wao ukoje wa kuajiri maana mimi nilifanya vetting na consultant wa kampuni hii huko Masaki kitambo kidogo sasa ni miezi nane bila hata simu kuwa mmetoswa au taarifa yeyote ya kuendelea kuvumilia..
Swali langu ni je ndo wamenitosa au namna gani; Kwa mwenye updates za hawa jamaa na taratibu zao za kuajiri naomba msaada either niendelee na msoto mjini ama niwe na legitimate expectation...
Nawasilisha...:evil:
hapo kwenye red ndo kuna tatizo
kama ni post nyeti sana inaweza kuchukua muda mrefu!
ila barrick mara nyingi ni 2 weeks wanaitwa watu kazini
best of luck mkuu for long wait!
barrick wapuuz sn, wanatngaz kama kutimiz wajb tu, lakn kiukwel tayar wanakua na watu wao..ukiingia ofic za HR bulyanhulu utajionea hawana mda hata wa kusoma aplications zako ni moja kwa moja kwenye dustbin, sasa hua najiuliz kwann wanatangaza nafas?