Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,679
- 5,165
walishazoea ukienda chuo cha polisi ndo ajira hiyo!! kazi kubwa inabaki kuhakikisha unapangiwa usalama barabarani, ukipangiwa FFU imekula kwako.Sema nafasi za kwenda chuo cha upolisi sio ajira za upolisi.
walishazoea ukienda chuo cha polisi ndo ajira hiyo!! kazi kubwa inabaki kuhakikisha unapangiwa usalama barabarani, ukipangiwa FFU imekula kwako.
owk majib tafadhalwalishazoea ukienda chuo cha polisi ndo ajira hiyo!! kazi kubwa inabaki kuhakikisha unapangiwa usalama barabarani, ukipangiwa FFU imekula kwako.
Hakuna sehemu tamu kama FFUwalishazoea ukienda chuo cha polisi ndo ajira hiyo!! kazi kubwa inabaki kuhakikisha unapangiwa usalama barabarani, ukipangiwa FFU imekula kwako.
Siyo trafic mkuu? Maana naona washikaji wanatukamua ile mbayaHakuna sehemu tamu kama FFU
uhamiaji,traficc na askar wa kawaida naona mzurSiyo trafic mkuu? Maana naona washikaji wanatukamua ile mbaya
Siyo trafic mkuu? Maana naona washikaji wanatukamua ile mbaya
Kwa hapo sawa...ukichanganya na lile zao letu pendwa.Haha nahisi anamaanisha tamu kwenye kumwagia watu maji ya upupu na kutembeza kipigo
Ile full stress si kwa enzi za magufuri.Siyo trafic mkuu? Maana naona washikaji wanatukamua ile mbaya
Mkuu. SijakuelewaJe wanapokeafa kianzia umri gani na je zip sifa kwa wahtaji.
Bado hazijatoka na hata zikitoka zitawahusu wale waliopo jkt au kama watachukua mtaani basi watachukua wale waliopitia mafunzo ya jkt ya mujibu wa sheriahabar wanajamvi!
nilikuwa naomba kuuliza kuhus kuuliza ajira za polisi tayar zishatoka au bado kizungumkuti cha kusitishwa ajira? naona jkt wamechukuliwa form six tu c wengine hatujajua inakuwaje so kwa mwenye taarifa kamili anijuze.
Hahhaa kuwapiga watu virungu raha eehHakuna sehemu tamu kama FFU
Ffu wanakula bata kwanza hakuna maandamano siku hiziIle full stress si kwa enzi za magufuri.