Hisha Sorel
Senior Member
- Dec 27, 2017
- 192
- 140
Natafuta: 1. Partner 2. Editor 3. Writer 4. Researcher 5. Photographer 5. Videographer 6. Journalist
Background: Channel ndogo na mpya youtube inayodeal na video essays na research za mada tofauti tofauti yenye malengo ya ku-expand na kufikia audience wengi.
Wamiliki wa channel wapo nchi tofauti tofauti so muombaji ajitegemee kwenye vitendea kazi:
Muombaji: kazi za casual au full time partnership zitatolewa kulingana na experience na skills za muombaji.
Elimu ni bonus, ila experience yeyote ni kitu cha msingi: muombaji tuma mfano wa kazi zako kwenye email hapo chini.
mfano wa kazi za kutuma:
1. essay inayoonyesha kipaji cha research, uchambuzi, uandishi wa lugha ya kiswahili;
2. video/picha inayoonyesha kipaji chako cha editing, photography, na design
3. ushahidi wa account/page unayoisimamia kuonysha kipaji cha management
4. Audio nzuri inayonyesha uwezo wa narration, pia access ya Quality
Bonus zaid kama:
a. Mkazi wa Dar es salaam
b. Mwanafunzi au recent graduate wa chuo
Malipo: Utalipwa kwa kazi (kwanzia 50,000+ kwa kila kazi kulingana na hadhi na ugumu wa kazi)
Hii ni nafasi nzuri kwa wanafunzi mliomaliza masomo ya film, journalism, au media.
Contact:
Email: megapain33@gmail.com
Thank you