mjasiliamali makini
Senior Member
- Jan 16, 2018
- 105
- 134
Alitakiwa kumuongoza dogo,,sasa yeye anamlaumu nini?,maana mimi mdogo wangu alipata watu wa hivyo tena wakawa wanampigia sana simu ili awaishe hela ili ajiunge Tanesco mkoa wa mwanza,,na kwamba kulikuwa inaitajika hela ya fomu na mafunzo,,nikamwambia sikupi hiyo hela kwani ni matapeli,,nikamwambia nipe niongee nae yule jamaa alikacha baada ya kuongea nae,,hivyo huyo brother alitakiwa kumwongoza mdogo wake na asifikilie amemaliza hapo inabidi amsaidie mpaka afanikiwe.We mjinga sana, kwani hayo yote hukuambiwa humu, siku nyingine Msije kuomba ushauri Kama tayari mnakuwa na misimamo yenu. Tena huyo dogo anatakiwa akuchukie maisha yake yote maana ulitakiwa kumuingoza na kumshauri kwani ulishaambiwa na wadau kuwa hao ni matapeli. Et nimeshanawa mikono juha wa karne kabisa wewe.
kabisa ndugu, mzigo wa lawama ni yeye na Wala si huyo dogo.Alitakiwa kumuongoza dogo,,sasa yeye anamlaumu nini?,maana mimi mdogo wangu alipata watu wa hivyo tena wakawa wanampigia sana simu ili awaishe hela ili ajiunge Tanesco mkoa wa mwanza,,na kwamba kulikuwa inaitajika hela ya fomu na mafunzo,,nikamwambia sikupi hiyo hela kwani ni matapeli,,nikamwambia nipe niongee nae yule jamaa alikacha baada ya kuongea nae,,hivyo huyo brother alitakiwa kumwongoza mdogo wake na asifikilie amemaliza hapo inabidi amsaidie mpaka afanikiwe.
Bora hizi hela ukalime mahindi ya kuchoma, utapata hela1. Wameambiwa watoe hela ya mafunzo 850,000/=
2. Hela ya usajili 700,000/=
3. Hela ya kukatia visa 150,000/=
4. Hela ya tahadhari 3,000,000/=
Kabisa kichwa kipo west tayari π€£π€£π€£Changamka Haraka Unaelekea Kibra Utachinjwa
Rubbish spermsMREJESHO WA AJIRA YENYE UTATANdugu wana JF napenda kutoa mrejesho wa uzi niliouandiki kipindi cha nyuma
Ni kwamba, kamuni inayojiita living foundation kumbe ndiyo QNet, baada ya kumpa hela dogo akaenda kutoa, kilichofuata ni msoto mkali wa waisha hadi anajuta. Wajanja wameshatafuna pesa yeye kwa Sasa anahangaika kutafta wateja wengine. Mimi nimeshanawa mikono
Asanteni
Kweli nmeamini mtu kuwa mtu mzima haimaanishi una akili timamu, wewe ni mpumbavuMREJESHO WA AJIRA YENYE UTATANdugu wana JF napenda kutoa mrejesho wa uzi niliouandiki kipindi cha nyuma
Ni kwamba, kamuni inayojiita living foundation kumbe ndiyo QNet, baada ya kumpa hela dogo akaenda kutoa, kilichofuata ni msoto mkali wa waisha hadi anajuta. Wajanja wameshatafuna pesa yeye kwa Sasa anahangaika kutafta wateja wengine. Mimi nimeshanawa mikono
Asanteni
Tangu mwanzo unaambiwa hao ni matapeli lkn huelewi, bila shaka kichwani umechomekwa dudu hakuna ubongoMREJESHO WA AJIRA YENYE UTATANdugu wana JF napenda kutoa mrejesho wa uzi niliouandiki kipindi cha nyuma
Ni kwamba, kamuni inayojiita living foundation kumbe ndiyo QNet, baada ya kumpa hela dogo akaenda kutoa, kilichofuata ni msoto mkali wa waisha hadi anajuta. Wajanja wameshatafuna pesa yeye kwa Sasa anahangaika kutafta wateja wengine. Mimi nimeshanawa mikono
Asanteni
Wewe na mtoa mada wote ni wapumbavu tena Rubbish sperms kichwani mmechomekwa dudu badala ya ubongoHapo kuna utapeli gani kwani?Wao kama wana pesa na wanataka kazi basi watoe Pesa wapewe kazi.Kama hawana Pesa wakatafute kazi za bure ziko nyingi sana.
Boss nipo pamoja nawe, mm pia nmefurahi sana alivotapeliwa. Ifike mahali mtu ajitambueNimefurahi sana mlivyotapeliwa. Yaani umeomba ushauri humu watu tumeacha shughuli zetu na michepuko yetu tukakupa ushauri ila ukaona hawa mafala tu.
Hiyo milioni tano ni sawa na toyota vitz mbili namba B. Natamani mtapeliwe zaidi hadi ujinga uwatoke.
Huyu jamaa ms3ng3 kweli yani πππ Jamaa sa hv anakula pesa yake isiyohitaji nguvu. Mimi nimefurahi sanaMmiliki wa shirika huyu hapa
Kama dogo nae yupo kwenye hilo deal bc mtoa mada ni bwege wa kimataifa, nmefurahia sanaUnatoa Million 4 ili qpate ajira atakayolipwa 900k. Hamkua hata na idea ya biashara mkampatia yeye akaanza kufanya.
Ni kheri ela ingepotelea kwenye biashara unajua imeendaje na unajua unambana nani hapo. Sasa situation yako unaweza kuta hata dogo mwenyewe ndio kaset mipango kuwapiga lakini huwezi mpa lawama.
Kakutana na matapeli hakuna ajira hapo wanataka kumpiga hauhitaji kuwa na degree kujua kuwa hakuna ajira na huenda kama shirika lipo kweli anaowasiliana nao ni matapeli na shirika halina habariWazo zuri ila tatizo nikwamba haruhusiwi kufanya mafunzo kabla hajakamilisha malipo
Sent using Jamii Forums mobile app