Darren2019
JF-Expert Member
- Nov 23, 2019
- 1,111
- 2,412
Unaibiwa mchana kweupe jua linawakaWazo zuri ila tatizo nikwamba haruhusiwi kufanya mafunzo kabla hajakamilisha malipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mafunzo ya nini. Samahani kwahili swali, mshahara kwa mwezi ni kiasi gani?Wazo zuri ila tatizo nikwamba haruhusiwi kufanya mafunzo kabla hajakamilisha malipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu niko serious nataka ushauri, naweza kughaili kwa fikra zangu kumbe ni sahihi nikaja kulaumiwa badaena hili unataka ushauri?ama ni ku share tu
Asante mkuu kwa maoni yako nimejifunza kitu toka kwakoHiyo website ni ya org.. ya kichina makao yake makuu inonesha ni Hong kong na ina uhusiano na Qi ambayo ndio baba wa Qnet ambao kila siku hapa mnasema ni matapeli.
Na kama wanajitambulisha kama "living foundation" mbona address iwe kama Rhythim foundation? Something smells fishy here!
Ubarikiwe mkuu nimekuelewaashidodi asante kwa kuja achana kabisa na hiyo habari.. Hiyo sio ajira bali ni biashara ya kitapeli
Jr[emoji769]
Mafunzo ya ku deal na watu wenye mahitaji maalum, mshahara 900,000 kwa mwezi mkuuMafunzo ya nini. Samahani kwahili swali, mshahara kwa mwezi ni kiasi gani?
Nimekuelewa Darren2019Dah! Watu mna pesa asee, hivi kweli fedha zote hizo bado unawaza kuajiriwa?? Mwambieni dogo aache ufala akae chini aseti mipango ya biashara mumpe mtaji huo.
Watanzania kwanini mnapenda utumwa?
Sasa mtu anayetafuta ajira pesa yote hiyo anakuwa amepata wapi?
Kama mtatoa uje kutupa mrejesho mkuu [emoji38]
Mafunzo ya ku deal na watu wenye mahitaji maalum, mshahara 900,000 kwa mwezi mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mawazo tunatofautiana sana, kunasisi ambao hatuwezi kunyumbulisha mambo au kuunganisha dots ndo maana inatubidi tuombe ushauri kwanza. Nashukuru nimekuelewa tupo pamoja900k gross kwa mwezi afu utoe about 5M?? Hukupaswa hata kuomba ushauri.
Asante RamoUSITOE HIYO PESA ,naludia USITOE HIYO PESA Ukitoa hiyo pesa utakuwa mjinga wa karne au mbumbumbu wa taifa.
Cha?Sasa hio ni kazi au ni kazia,Kama mnazo hizo hela lipeni Ndugu yenu apate kazi.Kama hamna Pesa ya kulipa basi katafuteni Kazi za bure.Habari za majukumu ya kila siku ndugu zangu. Poleni na majukumu
Nielekee Kwenye mada. Nina mdogo wangu amefanya usaili katika shirika la LIVING FOUNDATION hapa Dar. Mdogo wangu amepata nafasi ya kufanya kazi Kwenye shirika, lakini ninawasiwasi huu
1. Wameambiwa watoe hela ya mafunzo 850,000/=
2. Hela ya usajiri 700,000/=
3. Hela ya kukatia visa 150,000/=
4. Hela ya tahadhari 3,000,000/=
Hela ya tahadhari inatakiwa ikae Kwenye fixed account ambapo account atakayofungua itabidi imilikiwe na shirika siyo yeye mwenye account.
Je, kwa waliowahi kufanya kazi Kwenye hili shirika kunaukweli wowote au tunataka kupigwa?
Najua humu ntapata mrejesho mzuri.
NB😛esa inatakiwa jumatatu iwe imekamilika yote.
Nawasilisha
Hapo kuna utapeli gani kwani?Wao kama wana pesa na wanataka kazi basi watoe Pesa wapewe kazi.Kama hawana Pesa wakatafute kazi za bure ziko nyingi sana.Visa ya kwenda wapi na corona yote hii?
Hio ni wizi.
Karibia 4mil mtapigwa pesa hio.
Weka website ya hio Kampuni.
But I can guarante you hapo kuna utapeli.