Kwa utaratibu wa nchi yetu kila mwananchi mwenye umri wa miaka 18 na zaidi ana kadi ya kupigia kura isipokuwa vijana ambao wangotimiza miaka 18 mwaka huu.
Tayari zoezi la uboreshaji wa daftari la kupigia kura limefanyika nchi nzima. Sasa kwa nini uchaguzi huu wananchi wasingetumia kadi zao za kupigia kura katika uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa ikizingatiwa changomoto zilizojitokeza kwenye kuandikisha wapiga kura kwenye daftari.