Ajira ya kukusanya anwani za makazi Shinyanga

musa abel jr

Member
Oct 12, 2016
39
57
Habar za muda huu wana JF naomba kufahamu kuhusu uhalali wa tangazo hili kwa sababu ukiangalia tarehe ya tangazo ni 21/2/2022 wakati hii tarehe hata bado haijafika na kama ni halali vp kuhusu kufanikiwa kupata ajira hii ya muda
IMG_20220219_131304_013.jpg
 
Back
Top Bottom