ajira vp?

Bebrn

Senior Member
Mar 20, 2008
103
23
mambo vp washika dau? hv zile nafasi za TPA walizotoa mwaka jana kibao kuna m2 anamjua m2 yoyote ambaye aliitwa au ww uliitwa? sina uwakika maana inchi yetu ni noma! poa kazi njema!
Kwa yoyote ambaye atakuwa ananafasi za kazi za IT tushtuane yaani hata
 
Last edited:

Similar Discussions

Back
Top Bottom